Search results

  1. D

    Wale waliopata schoralship msumbiji ingia hapa

    e bwana shwari kabisa sasa kama kawaida kule ughaibuni kama vipi join up kwa group ya facebook kwa group inayoitwa TAMOSE hapo mzuka utaenjoy na kufanya safari yako iwe na maana.adminstrator wa hiyo group anaitwa castro ze paedatrician.msifanye mchezo oohooo.....
  2. D

    Wale wanaouliza maswali kuhusu selection kila kukicha soma hapa!!!!

    mi nadhani vijana tuzidi kutupia maswali angalau tusaidiane maana tusije tukapoteza watu either kwa kutoa majibu ya kukatisha tamaa huu ni mtandao wa jamii bwana.big up prezdaa
  3. D

    Wale wanaouliza maswali kuhusu selection kila kukicha soma hapa!!!!

    friends of mine vuta pumzi ili usomapo upate nafasi ya ubongo wako kupata kuelewa kile kilichoandikwa kwenye web ya tcu badala ya kupanic na kufanya maamuzi yasiyofaa.usipende kuambiwa kila kitu jaribu kuperuzi kinagaubaga big up sana wadau
  4. D

    Bajeti wizara ya elimu now..mogomo itakoma??

    real terifying guys without mkwanja full kuhaso coz badala ya kufikiri kitabu kitapandaje hewani u think about what u gonna eat hebu tungoje kwa hamu yani hapo wasifanye mchezo kabisa
  5. D

    Hodi wana JF!Je mko tayari kunipokea niwe mmoja wenu?

    e bwana karibu sana,mi ndo mmeza funguo ukiingia humu huwa hatutoki.e bwana usiogope ni dojoman
  6. D

    vijana hebu tujiulize....

    tupo pamoja,nadhani mlango uusemao nimeshafunga nami niko ndani ufunguo wake nimeumeza sasa tuone mtatokea wapi.e bwana mi mtu mstaarabu tu
  7. D

    Matokeo kidato cha sita 2012 lini??

    vijana vip tena mbona mna shaka mno kama vp potezeeni c mnajiamini!wasiwasi wa nini?paper uandike wewe,mtandaoni usumbue.e bwana just wait..
  8. D

    vijana hebu tujiulize....

    vijana hebu tujiulize maswali mengi yasiyo na idadi,huenda ubongo wetu na ufahamu ulio ndani yake utagutuka na solution iliyo bora.Je wewe hapo unafanya nini kilicho bora zaidi kwa maisha yako ya sasa na baadaye.Je wajua kwamba kile ukitazamacho,ukisikiacho,unenacho ndicho hujaza ubongo na...
Back
Top Bottom