Search results

  1. N

    Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

    du inasikitisha km kuna watu katika karne kama hii wanakuwa na mawazo kama haya. ina mana mbatia yeye hawezi kupata ajali? nadhani huu si wakati wa kufikiria mambo ambayo hayatusaidi checheto, nadhani ni wakati wa kufikiria nini kifanyike ili kupunguza ajali za barabarani ambazo kwa kweli...
  2. N

    World Bank yaipongeza Kenya 2007

    Ndambe hongera kenya, munastahili sifa, lakini pia iwe challenge kwa Tanzania ili mwakani nasi tuwemo, mbali na kenya lkn pia Ghana inaonyesha maajabu siku hizi kila katika sekta basi wamo, na siri kubwa ya kwao ni kutilia mkazo katika elimu na pia kuwatumia wasomi wao waliokuwepo nje vizuri...
Back
Top Bottom