Search results

  1. M

    PCCB Iliharibu Yenyewe Kesi ya Idd Mohamed Simba

    Kama ulikuwepo, huyu jamma anapenda kujipendekeza mno hata nakumbuka siku moja Mheshimiwa Chenge alimtolea nje baada ya kumpelekea umbea. Ni yeye na ushaidi ambao nimetumia five times privetly ili atubu lakini amekaa kimya.Naona kwa vile alijiunga kwenye forum hii siku hiyo hiyo alipomwaga siri...
  2. M

    PCCB Iliharibu Yenyewe Kesi ya Idd Mohamed Simba

    Who does not have a name, what do you term as name calling, and what are you worried about an opportunist being exposed. Usilete tabia za CCM humu ndani. Kama nimemsingizia basi alete evidence and I will give mine! Welcome to the "land of the free and the home of the brave" Jamii Forum. Hapa...
  3. M

    PCCB Iliharibu Yenyewe Kesi ya Idd Mohamed Simba

    Kama ulikuwepo, huyu jamma anapenda kujipendekeza mno hata nakumbuka siku moja Mheshimiwa Chenge alimtolea nje baada ya kumpelekea umbea. Ni yeye na ushaidi ambao nimetumia five times privetly ili atubu lakini amekaa kimya.Naona kwa vile alijiunga kwenye forum hii siku hiyo hiyo alipomwaga siri...
  4. M

    An article from January Makamba on the Obama visit to Africa

    Ama kweli tunao mawaziri vilaza na mmoja wao ni wewe! Kwa nini unaruhusi gharama za mawasiliano hususan gharama za internet kupandishwa kwa asilimia 15%, umiliki wa simcard kulipiwa rental fee ya shilingi 1,000.00 kwa mwez, matumizi ya ya huduma za kutuma pesa kulipiwa kodi. Wakati wenzetu nchi...
  5. M

    PCCB Iliharibu Yenyewe Kesi ya Idd Mohamed Simba

    Wewe Oswald mbona unatia aibu. Miaka yote hiyo ya utumishi hujakomaa tu? Ama kweli uroho wa umaarufu unakumaliza ndugu yangu. Umejishushia credibility yako binafsi kwa tunaokufahamu kwa muds mrefu na hasa ofisi ya DPP kwa ujumla. Nimeamua kukuandikia openly baada ya kutojibu PM zangu zaidi ya...
  6. M

    Hoseah na Richmond

    Haya mwenyeji Katibu Kata, ni wapi kwenye posting yangu nimesema kuwa JF walimdanganya Hosea, kuhusu lipi? Au pamoja na kuwa mwenyeji comprehension ni tatizo?
  7. M

    Hoseah na Richmond

    Uhakika upo. Na kama unataka kuelewa zaidi kachunguze zaidi kwenye records za faculty of law nani alitoa recommendations ili Dr. Mwakyembe kwenda Ujerumani na wangapi wenzake walioomba na kunyimwa hiyo fursa na hasa wale watatu ambao walikuwa senior kwake. Ukishafanya uchunguzi huo then ndio...
  8. M

    Hoseah na Richmond

    Ndugu Shabani Ukweli uliousema imebidi nikkunge mkono na pia niongezee kwa undani ukweli ambao leo hii wengi wataubishia na kusema ni uwongo, lakini naomba hii posting idumu kwa muda wa miezi sita tu kama haya ninayoyasema hayatathibitika. 1. Dr. Mwakyembe 2. Dr. Mahalu Hawa ni...
  9. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Heko Wambili Nimekuwa naudhika sana na hasa hawa vijana wawili hasa huyu Osama - Awadh - mrishog ambaye Dr. Hosea ndiye alimpigia debe akaingia PCB enzi hizo baada ya kushidwa kupata kazi ya maana akitokea uarabuni. Waswahili husema ukimzoe mbwa atakufuata hata msikitini. Tena Osama unatamba...
  10. M

    Kikwete anawakwepa watanzania wa USA - tena!

    Nimeishi marekani miaka mingi tu na ninatuma pesa nyumbani "zaidi ya makampuni ya madini" lakini lugha mbovu kama yako kwa niaba ya watanzania tulioko huku US sikubaliani nayo na haitufikishi popote. Kukaa kwetu marekani basi tena tunawaita wenzetu vilaza. Hivi wewe umeshaongoza nchi? Hivi...
  11. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Ndugu yangu Mtanzania; Siri ni Siri. Matumizi yake na motives za kulifanya jambo liwe siri ni progative ya wale ambao wanahusika na hiyo siri. Kwa hivyo wewe bora uayapate yale maovu hujali kama anayaleta yeye ndiye mwovu zaidi na bora kayaleta sawa. Huo ni upeo wa fikra zako na mimi nakubali...
  12. M

    Kifo Cha Mbatia Chaibua Mapya:inadaiwa Alilengwa Zitto

    Sasa mwelemishe mwenzio au mwelekeze ni mtandao gani unaotoa huduma hiyo kwa vile kuna mtandao CDMA na GSM ambazo protokali zake ni tofauti. Na hata mtandao wa internet unaweza kutumika kutuma SMS! Bottom line Zito yu hai Salome hatuye, alyekubali yatokee ni Mungu muumbaji, viumbe sasa...
  13. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    SaharaVoice, Kwanza kabisa ndugu yangu ngoja nikuukize swali hili "Je utamwamini yule aliyepewa nyeti azitunze asimpe mtu halafu akakumegea na kukwambia kuwe iwe siri kwa vile aliyempa hizo siri alimwambi ni siri na hatakiwi mtu mwigine ajue; ila kwa vile wewe ni mshikaji nakumegea ila iwe...
  14. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Mwafrika wa Kike na Mtanzania, Mwamfrika wa kike umesema ukweli kuwa kuna watu wamo humu wanatunza siri na sources zake, hiyo ni sawa na hata mimi pamoja na kusema mambo ya IP I will never ever divulge that information to anybody. Mantiki yangu ni kuwa kuna njia nzuri za kupambana na watu...
  15. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Swala siyo kutafutana swala ni ukweli unavyosemwa na unasemewa wapi!. Ukweli unaweza ukawa umbea au uwongo kitona na pale unaposemwa. Nyumbani unamwita mkeo "wewe mwanamke" ukifika mbele za watu unajidai kumwita "darling". Hapa JF unakuwa mkali ofisini TAKUKURU unatoa shikamoo bosi! Wacha...
  16. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Nimekuwa pembeni ila huyu jamaa "investigator" aliyekuwa kabebwa na farao wa zamani nadhani kawekwa benchi na yale marupurupu na "OC" kebekebe hazipo. Sasa inabidi aanzae yale ya sungura "mbichi hizo". Tena inaonekana yuko shule maanake nimeitrace hiyo IP ya ni ya chuo kimoja hapa nchini .. jina...
  17. M

    PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Hivi wewe mwana Takukuru ama kweli unatia aibu. Kweli wewe unajidai kuwa na uchungu halafu unamwaga uchafu wa kwenu kwenye mtandao wa wazi halafu unajiita investigator? Hivi ndivyo ulivyofundishwa na Hosea kuja kuelezea siri za ofisini kwako and you hope utaaminika na kupata sympathy toka kwa...
Back
Top Bottom