Search results

  1. N

    On time,in time .What are the differences?

    WADAU WA UGA HUU WA LUGHA. Hili suala la in na on huwa linasumbua sana katika matumizi. Ni vyema kurejelea katika kamusi ya kiingereza ya Oxford. Nami napenda kuwatwika ukakasi zaidi katika hili la kuhusu IN na ON. Ipi ni sahihi kati ya sentensi hizi. I sleep IN bed Isleep ON bed.
  2. N

    TCU SASA WAJIVUA GAMBA:HOMA heslb YAZIDI KUPAMBA MOTO:

    Ki ukweli hawa jamaa wa TCU wanaumiza vichwa. Watu wamepata darja la kwanza lakini hawajapata udahili. hii inasikitisha sana.
  3. N

    Waraka wa wazi kwa mh. Raisi dr. Jakaya mrisho kikwete - kutoka udom

    Udom ilikuwa na matatizo toka kuanza kwake. Wadau walionza na chuo hiki kilichokuwa na jengo moja bila hosteli. Matatizo hayo yanaendelea kutokana na kutaka kudahili wanafunzi wengi pasipo uwezo wa kuwamudu ndio maana walimu ni wachache na wanafunzi ni wengi. Kila mwaka wanaongeza idadi ya...
Back
Top Bottom