Search results

  1. C

    Utapeli kupitia centre for environment protection.

    ushahidi upo tigo, takukuru waende wakachukue info za profile lake na tigo watawapa hapa watakuta hzo sms na watu wote aliowatumia na pia wote waliomtumia hyo msimazi. Maelezo yaliyotolewa na wanajamii ni nyenzo ya kuanzia uchunguzi.
  2. C

    TCRA mpo???TIGO wameoza!

    GOOD Mzawa Halisi, kuna Campany moja la Simu linalojulikana Ndio lina network eti Nzuri Limefuta promotion yake ya kufurahi hvyo kwenye mikoa mingi ya Tz
  3. C

    Vodacom: hivi ni kwa nini lakini?

    Soko gumu kipya wakitoe wapi wanaishia kugeza
  4. C

    TCRA mpo???TIGO wameoza!

    Wameishiwa hawana jipya ndo mana wanageza Soko Gumu
  5. C

    TCRA mpo???TIGO wameoza!

    https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/350949-vodacom-hivi-ni-kwa-nini-lakini.html
  6. C

    TCRA mpo???TIGO wameoza!

    Vodacom: hivi ni kwa nini lakini?Siku hizi hawa Jamaa wamekuwa na mtindo wa kutujazia wateja Inbox zetu kwa Meseji juu ya Products/Services zao mpya (ambazo hata hivyo huwa hazidumu).. Hii ni Tabia ya Tigo, Voda wameamua kuiga? Siku hizi Vodacom wamekuwa wakianzisha Products/Services ambazo...
  7. C

    TCRA mpo???TIGO wameoza!

    Hakuna Mtandao usio na Hizi tabia ulizo andika hapo juu hapa TZA, Mkuda wewe unakulupuka Kuconclude mambo bila fact
  8. C

    TCRA mpo???TIGO wameoza!

    Ata Mitandao mnayoiita Mizuri Ukipiga simu unajbiwa not reachable wakati ipo hewani. Nyie mmetumwa wakuda
  9. C

    TCRA mpo???TIGO wameoza!

    Watakua wametumwa na kampuni ya Mafisadi tena pesa za wananchi. tiGo full shangwe hakuna mambo ya Kibwege ya kikuda ya Kulia watu pesa kwenye promotion. eti ukijiunga cheka ata saa 23:55 siku hyohyo ikifika saa 24:00 eti masaa 24 yameisha( huu ni mtandao wa mafisadi wanaumiliki) lakn Tigo...
  10. C

    TCRA mpo???TIGO wameoza!

    Ebu nifafanulieni Mtandao Mzuri Ukoje wana Jamiii.
  11. C

    Nafasi za kazi TRA

    Ebu tujitupe tupate kazi
  12. C

    Natafuta kazi

    Komaa mzee utapata
  13. C

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Nazani google tu utapata elimu yote uitakayo kuhusu CV
  14. C

    Kazi!-UN

    Zimetulia Mwana jamii
Back
Top Bottom