Yaani hapo mnajaribu kulazimisha njano kuwa nyekundu ..kumbuka kuna maneno SISI na YEYE..na ukae ukikumbuka pia yuleyule aliyesema SISI ndio aliyesema YEYE ..sasa anawezaje kuwa mtu mmoja ,kwa nini asiseme MIMI??
We jamaa soma hizi herufi kubwa vizuri
SISI tumekuteremshia kitabu hiki.....Kwa kumfanya Mola YEYE tu
Halafu unataka kuniambia kuhusu kuapa Mungu alikuwa anaapa kwa Mungu wa mashariki na magharibi..Daah hizi imani hizi
Ningekuwa sijaelewa nisingetuma humu,hiyo nimetuma kwa faida yako.
Na kama unaijua qurani vizuri niambie hii mistari miwili ina maana gani
Surat AZ-ZUMAR 39:2 Kwa yakini ,sisi tumekuteremshia kitabu hiki,Basi muabudu Mwenyezi Mungu kwa kumfanya mola yeye tu.
Surat AL MAARIJ (70) 40-41 Basi...
Napata ukakasi sana kuelewa hiyo logic yako unaposema wingi wa utukufu.Unajua maana ya Wingi?? Wingi kwa kizungu ni vitu kuanzia viwili na kwa kiarabu wingi ni kuanzia vitu vitatu.Ningeelewa zaidi kama hili jibu angelitoa mkisto kwa maana wao ndio huamini katika wingi wa utukufu (mfano nafsi...
Naomba kuuliza wenye uelewa mzuri wa Quran ..Ndugu zetu waislamu huwa wanaamini katika Mungu mmoja tu (Allah) na tena kwa msisitizo wanasema hana mshirika.Lakini kuna baadhi ya aya katika quran Allah mwenyewe anajiwakilisha kwa kutumia Wingi..Mfano kuna aya anasema tulimuumba,tulimpulizia...
Jamani natafuta chumba maeneo ya ubungo karibu na mwendo kasi,magomeni usalama,Mikumi,au kinondoni.Chumba kiwe kikubwa na mazingira ya nyumba yawe mazuri..isiwe nyumba yenye wapangaji wanaozidi watano.Bajeti yangu ni Tshs 60,000/-
Mwenye chumba ani PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.