Search results

  1. J

    Ameondoka nyumbani

    Mume ameniacha, kaenda kupanga nyumba sehemu nyingine, ananiambia tuachane sababu hatufanani. Mbaya ananitumia meseji kila siku usiku akiniambia jinsi gani ananimiss na kuwa ni jinsi gani moyo wake unamuuma kwa kuniacha ila inambidi aniache tu. simjibu. Anaamini baada ya muda haya maumivu...
  2. J

    aliniambia nichague mawili

    my 8 years spouse recently told me nichague mawili after never ending conflicts between us, tuachane au niendeleee kuishi naye lakini nikijua hanipendi...siyo kirahisi kama ambavyo unasoma hapa ilikuwa ni mtihani mgumu na kipindi cha majonzi sana, nilijuta na najuta kuwa na spouse wa aina hii na...
  3. J

    msaada wa mawazo jamani

    nimeolewa kwa miaka 7 sasa,Mungu ametujalia watoto 2 kwenye ndoa yetu.ndoa yetu kwa nje inaonekana ni yenye afya njema sana, lakini kiukweli ndani kuna moto unawaka.na tatizo kubwa ni mwenzangu ambaye amekuwa akirudia kuniambia kila wakati kuwa hanipendi na haelewi ilikuwaje tukafunga...
  4. J

    so interesting

    JF is so interesting, never got bored by it. have been a member for quiet some time now,lakini leo nimeona nipost kwa mara ya kwanza. salaam to u all JF members.
Back
Top Bottom