Kutoa motisha kwa watumishi wa wizara ya afrika mashariki ni busara sana, Lakini mdogo wako kikwete hatambui umuhimu huo, anawanyayasa waalimu, madaktari, wazee wa afrika mashariki na wengine wengi.
Kitendo cha sita kuwatambua watumishi wa wizara yake ni tafsiri tosha kwa jakaya kikweta...
watu wanapenda kutizama kinyesi ,hakuna jambo lisilo weza kutafutiwa ufumbuzi ,watanzania tusiwa wavivu wa kufikiri na kuthubutu kukabiliana na changamoto
Hata mimi nimekaa sebuleni hadi saa tano usiku sikuona hotuba ya huyo anayejulikana kwa jina maarufu DHAIFU .Lakini hata hivyo hotuba yake kama michuzi alivyoiposti haina afya kabisa ina mapungufu mengi hajajibu hoja za madaktari na hoja ya wananchi kupitia hoja ya madaktari juu ya uboreshaji wa...
Dr ulimboka kwa Imani yangu katika Mungu ninety makini ten a Mungu aliyehai assiyeala usingizi mailing nakuombea upone haraka ameni .lakini hata ukifa damu yako niondoleo la utawala wa kidnaping wa serikali ya CCM.nafarijika kusema mane no ya hekima kwamba'tunapohisi KUFA natufanye hivyo kwa...
Wahenga wansema "hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu" Dr Kitine ameibua mjadala na majadala huu una mgusa moja kwa moja membe ,sasa kama membe anaguswa na mjadala huu ajitokeze kupinga ama kukubali .Membe njoo ujibu tuhuma hizi
Kigwangalla ,usomi wako nautilia shaka ,haujitafsri kama musomi ,hoja yako haiana thamani bora hoja ya mwernda wazimu na kichaa angeliposti mawazo yake humu yangalikuwa na thamani kuliko uchafu wako uliouleta hapa.shetani akutangulie kwenda kuzimu ukaishi huko
Kichwa cha habari kinawatia hasira wazalendo, wanamapainduzi ,wanaotaka kuikomboa tanzania ,lakini mafisadi kichwa cha habari hiki kinawavuta na kufurahia wakiamini kuwa makamanda wanaharibikiwa kumbe tunamvuta fisadi akutane na nondo kama hii ni kwa makusudi kuwavuta watu wapate elimu kupitia...
maandamano hayo yangepewa jina la maandamano ya wananchi nchi nzima badala ya vyama vya upinzani naona mimi kwa mtazamo wangu pana dosari kubwa .nashauri yaitishwe maandamano ya wananchi
watanzania wote watazimia kuona uovu mkubwa watabaki mafisadi wanashangaa,kama kweli leo uovu wao unafichuka angali wapo madarakani piga picha je watakapo ingia makamanda uovu huo utaonekenaje ,kweli inatisha na itatisha sana nakwambi anarudia watanzania watazimia kuona madudu hayo.
vyovyote vile na iwe kama zito katumwa sisi haituhusu awe ametumwa ama hakutumwa lakini hoja inamashiko kwa taifa la tanzania kwani mawaziri sio wezi?.wewe umeleta uchawi wako hilo gazeti ulisoma mwenyewe taja gazeti la
Nilikuwa na tafuta gadhabu za wanamapinduzi iliwaweze kusoma ,waijadili ,watoe hoja zao na kuendeleza na jadi yetu ya kuwa elimisha watu wengine ambao hawana fursa hii ya kuingia humu mjamvini tunakutana nao kwenye vijiwe ,kweli kichwa cha habari nimefanya makusudi kuwa mtego ili hata wanaccm...
Usiwe mchoyo ,kuna watu hawana access ya kuingia humu nayo ni jamii inastahili kupata hiki ambacho unaona waandishi kama wa vivu usiwe na mawazo membamba huo ni ubinafsi .
WABUNGE WA CHADEMA NA LAANA WALIOITAKA.
Tunafahamau fika kwamba ,chama chochote cha siasa kote duniani ,kinapo anzishwa kinakuwa na lengo la kutawala kikinuia kuwaboreshea maisha watu wake ,ingawa vyama vingi vimeshindwa kukidhi hitaji la wananchi.
Ndiyo maana chama cha siasa kinaingia kwenye...
Usiwe mwepesi kuamini kauli ya mkapa alikuwa anajitetea tu,nakupa data kwa kauli yake kwamba mashirika mengi yalikuwa ni mufilisi sio kweli ,Je NBC Benki ilikuwa mufilisi?,je kiwanda cha kuchonga almasi Tancut -Iringa kilijiendesha kwa hasara? ,kama sio serikalai ya kupitia shirika la Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.