Hamna kulia ujue mechi za nje ni nzuri sababu zinaongeza experience ukirud kucheza za ndani sasa ndani utakuta kifo cha mdudu daily nje unapiga samba solt hadi unasimamia vidole hiyo experience unaileta ndan lazima uvunje mtu mgongo
Kuna mmoja mume alikuwa na kisukari so akapata na problems hiyo ya low sperms count si a kaenda agakhan eti wakatoa sperm za jamaa wakamwagia kwa mke then akalala chali kwa dk15 kweli kitu kikatiki
Ni ngumu kutibu men's fertility kwa sababu ina factor nyingi zisababishazo hilo tatizo unless liwe si lawkuzaliwa au genetic factors ndo mgonjwa anaweza tumia miti shamba kwa mda flan mungu akasaidia mambo ya kajipa though wengi hupata stress wakisha jua wanatatizo na hilo huongeza tatizo pia
Jamaa siyo kwamba hataki mkewe aende church tatizo mke ame lowea kanisani kasahau kama ana ndoa ana mume wa kuheshimiwa hivi tuache unafiki unajidai kumpenda mungu usiye muona mtu anaacha kumpenda mmewe kisa dini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.