Search results

  1. J

    Kikwete, Nchimbi hata hili la kumuondoa Daily News Kaimu Mhariri asiye na Mkataba pia limewashinda,

    Habari za uhakika zinathibitisha kuwa Kaimu Mhariri wa Kampuni ya magazeti ya serikali yaani Tanzania Standard Newspapers Ltd, inayochapisha magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari Leo na Spoti Leo amekuwa madarakani hivi sasa kwa takribani miaka miwili bila ya kuwa na mkataba unamwezesha...
Back
Top Bottom