Search results

  1. P

    Miwani aliyovaa mheshimiwa Hawa Ghasia niyanini?

    Jamani naomba kujua huyu mama akiwa anachangia hoja bungeni kavaa miwani ambayo najua ni sunglasses ambazo zinatakiwa zivaliwe inje....yeye kazivaa ndani akiwa anachangia hoja,wanaoelewa zaidi jamani nisaidieni.
  2. P

    Mabango wkt wa ugeni wa Obama

    Nimeshangazwa na Kauli ya Kova WKT wa taarifa ya hbr saa2,eti inchi nyingine WKT wa ugeni kma huu watu wanashika mabango,eti sisi TZ kulikuwa hamna kitu kma hicho ,hivi kwa ukweli hili ni jambo lakujipongeza au inaonyesha tu inchi yetu isivyokuwa na haki Za binadamu?hivi nani angethubutu kushika...
  3. P

    Dawasco

    Hbr wa na jamii ,Nina omba Kama kuna mtu anaejua sababu ya maji kutokutoka maeneo mengi ya kinondoni kwa wiki 3 sasa anieleze ili Nijue tu,au ni Yale madai Kuwa wanafanya hivyo hawa Dawasco ili Wauze maji ya visima vyao,ni kero kwakweli maana bili zinakuja za juu kuzidi hata zile za Wakati maji...
Back
Top Bottom