Search results

  1. A

    Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    Mungu awasaidie kama ni kweli.....
  2. A

    Wilaya mpya ya Wanging'ombe watishia kuhamia CHADEMA

    Kama kweli nia ipo makao makuu ya wilaya hayana impact, ina maanisha wakikubali mtarudi tena ccm kama mkihama usiingie mahali kwa masharti huo sio upenzi wa kweli. Acheni bendera fuata upepo wabena ndio maana hamendelei.
  3. A

    PICHA; Mkutano wa CHADEMA Newala Jana!

    uLE MWAKA WATU WALIKUWA HAWAJAJUA MAANA YA MABADILIKO LEO HII HUMDANGANYI HATA MTOTO WA CHEKECHEA ANAJUA KUNA VYAMA. SASA WEWE UNAYEWAZA MAMBO YA MWAKA 47 NAKUONEA HURUMA KWANI HUSONGE MBELE BALI UNARUDI NYUMA. KAMATA BOMBA TWENDE......
  4. A

    Hatutarudi nyuma – Sheikh Farid

    Heri wafu wafao katika Bwana.
  5. A

    ..... Wadau hii kauli ya Nchimbi mwaichukuliaje..??

    Hapiti mtu hapa hiyo mahakama yao wanang'ang'nia nini iingie kwenye katiba kama sio kuna kitu kwenye pazia ambacho kitajitokeza baadaye. Udhalimu huwa haufanikiwi hata siku moja. Mungu yupo na anaijua nia ya mioyo yao.....
  6. A

    ..... Wadau hii kauli ya Nchimbi mwaichukuliaje..??

    Ukweli vita hiyo siyo ya muungano ni ya dini kwa sababu kama ingekuwa ya muungano wangechoma ofisi za serikali kwani kanisa lina kosa gani hapo? Mungu yupo.
  7. A

    JK akiri serikali haiaminiki - AFICHUA KISA CHA KUACHWA MA-DC

    Chagua watu wenye uchungu na nchi yao sio wachumia tumboni watakusumbua sana... Hata kama ni mtoto wa mfadhili achana nao tena hao ndio wabaya sana... Ushauri wa bure...
  8. A

    Siku Vijana Watakapowageuka CHADEMA.

    [/U] ukioa mke unapanga na tarehe ya kuachana au basi huna commitment vijana wanajua wanachokifanya na sio bendera fuata upepo. halafu wenzako wana Mungu wa kweli wewe je?
  9. A

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Mungu kwetu sisi ni Kimbilio na nguvu... Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso... Mungu tunayemtumikia ndie mwenye ratiba ya CDM.
  10. A

    Waziri Chami amwaga chozi - Awataka watumishi wamuombee asiadhirike

    Mshahara wa dhambi ni mauti......... ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga pia.......
  11. A

    CCM ina wanachama 3/4 ya wakazi wote wa Mbeya

    Ni vizuri kujifariji
  12. A

    Ngeleja kupokelewa Kifalme!!

    unapopanda mnazi kumbuka kuweka fundo ili utakapokuwa unatelemka uwe na vituo vya kusimama kwanza kuliko utoke juu hadi chini puuuuuu! binadamu tuna tabia ya kujisahau. Mungu anasema utakapofankiwa usimsahau yeye aliyekufanikisha. hivyo watu walifanikiwa wakasahau hata aliyewapa sasa wametelemka...
  13. A

    Makamo wa Rais Znz atembelea Israel .

    Amebarikiwa anaeibariki israel, amelaniwa aneilani israel. Kama lengo lenu ni zuri hakika sasa hivi mtakuwa mbali. Na hekima hiyo hamjafunuliwa na mwanadamu bali mungu mwenyewe. Hakika mungu hana upendeleo.
  14. A

    Joshua Nassari MB.

    Sio udogo wa umri udogo wa mamlaka mbona hamfikirii mbali. Ni vizuri kutafakari habari ndio ujibu.
  15. A

    Kuelekea baraza jipya "EVERYBODY MARK THESE WORDS"

    Mungu hadhihakiwi kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. ukipata mema utavuna mema ukipanda mabaya utavuna mabaya.kwa hiyo watanzania msilie sana Mungu wa Mbinguni yupo kazini. ila wandugu sikilizeni bila kuweka ubalozi wa Israeli Tanzania, tutalia hadi basi kwa hiyo mmekaribisha Ishmaili Isaka...
  16. A

    MADAM SPEAKER: Rai...

    Dhambi ni aibu mbele za Mungu lakini Haki huinua Taifa. Bila haki taifa haliwezi kuinuliwa ikiwa kuna dhambi za makusudi na Mungu hapendi kuona watu wanawanyanyasa watu kwa maslahi yao. Tutaendelea kuomba Mungu sio kiziwi atajibu kwa mapigo 10 ya wamisri.
  17. A

    Viwanja vilivyotumika wakati wa siku ya Uhuru, tuvitumie sasa kusema na kudai haki zetu

    Viwanja hivyo pia tuvitumie kwa maombi hadi mungu aliyetupa uhuru kwa amani ashuke atupe ukombozi kwa amani pia.... Ombeni bila kukoma.......
  18. A

    Viwanja vilivyotumika wakati wa siku ya Uhuru, tuvitumie sasa kusema na kudai haki zetu

    Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu...... Atajibu kwa wakati wake tena jibu lake halina madhara. Tuombe sana kila mtu kwa imani yake.
  19. A

    Lissu asimama kizimbani kwa masaa 3:30

    Na pia Neno la Mungu linasema "Wamngojao Bwana Mungu hawataabika wataaibika watendao uhaini bila sababu Za. 25
  20. A

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    :)Hafanyi kitu bila kummuliza Mungu aliyemwita katika utumishi alionao.
Back
Top Bottom