Search results

  1. K

    Taarifa: Mkutano Mkuu na Uzinduzi wa chama cha ACT, Tarehe 28 na 29 Machi

    Mimi sijamuelewa huyu afisa habari,kwani hao watu mnaotaka waje hamjawapa mialiko rasmi mpaka mlete huku jamii forum? Sasa kama ni chama cha mitandao kuna shida sana na hii ACT
  2. K

    Zitto atajwa kugombea nafasi ya Mwenyekiti ACT Tanzania

    Zitto ndio mwenye Chama,rejea waraka wa Mabadiliko.
  3. K

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Huyu Zitto ni bepari namba moja,sasa hivi kakamilisha ujenzi wa nyumba yake ya kifahari na hii ni kati ya majumba ya kifahari anayoyamiliki kutokana na pesa za rushwa anazo kula.Nyumba hii ya kifahari kwa sasa bado inalindwa na mlinzi anaeitwa Edgar,haijajulikana kama atahamia yeyey kutoka pale...
  4. K

    Matukio ya aibu ya CHADEMA 2010 mpaka 2015

    Tukio lingine ni Kikwete kuhongwa suti tano na Kinana kuuza Ndovu nje ya Nchi,na Ridhiwani kukamatwa na unga(sembe) China. Kwa sasa hivi naishia hapo,baadaye nitarudi tena.
  5. K

    Kinana amsafishia njia Mbowe 2015

    Juliana utahangaika sana,kazi ya kuandika ujinga ndio inakuweka hapa mjini. Wewe uliuuza utu wako kwa sababu ya kuganga njaa na kwasasa kazi yako ni kuburudisha wale wanaohitaji huduma hapo Lumumba. Shame on U stupid lady.Huna hata locus ya kuchangia masuala ya msingi katika nchi hii.
  6. K

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 2 Septemba, 2014

    Kubenea angekuwa mchekeshaji je Rais amekutana na viongozi wa vyama ili kujadili nini? Kama ingekuwa mchakato ni sahihi na halali basi hata Rais asingewaita ili kujadili. Nadhani ni vema tukaweka unafiki pembeni na kuangalia ukweli halisi. Ni kweli BMK inapoteza muda na pesa za watanzania...
  7. K

    Wadada igeni mfano huu wa mwenzenu

    Hii habari nayo ni Siasa? Mods vipi? ipeleke inapohusu.
  8. K

    Kumbukumbu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    Ni kweli unyama huu uliofanywa na askari hautasahaulika! Ninaamini damu ya Mwangosi itaendelea kuwafuata wauaji wote. Familia ya Mwangosi nawaombea Mungu aendelee kuwapa ujasiri na kuzidi kumuomba yy huku mkiamini ya kwamba ipo siku wauaji watapata hukumu toka kwa Mungu ijapokuwa hukumu ya...
  9. K

    Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

    Juliana unatia huruma sana,inaonekana jinsi unavyoikumbuka Chadema, huko uliko matumaini uliyokuwa nayo ya kuwa mbunge mwaka 2015 ndio yameyeyuka. Unabaki kuikumbuka Chadema kila siku.Pole nadhani ni njaa za muda mfupi ndio zilikuponza.
  10. K

    Ni hatari, Waziri jangili huyu hapa

    Kwani aliekabidhiwa Wizara hii nyeti hivi karibuni hatumjui. Wanajamvi ni kweli Waziri aliekabidhiwa wizara hii hamumjui? Kama mnajua basi huyo ndio Jangili.
  11. K

    Urais 2015: January Makamba moto wa kuotea mbali

    Hivi huyu kijana nani kamdanganya anauwezo wa kuwa Rais wa nchi? Kweli vioja vya CCM
  12. K

    Mwenyekiti CHADEMA kanda ya Kusini ajiuzulu

    Amejiona hana uwezo katika kikosi cha makamanda,ni vizuri ulivyojiondoa mapema uache watu wapige kazi ya ukombozi wa Tanganyika.
  13. K

    Picha: Nimeshaanza kazi mliyonituma Wanatanzania na wana CCM hapa Marekani

    Hao wanachama wa CCM wako saba,kweli unaeneza chama.
  14. K

    Habari na Picha: Kinana alipokutana uso kwa uso na Mh. Shibuda jukwaani Meatu

    Shibuda ndio kafikia mwisho wa safari yake.
  15. K

    Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

    Ni makinda gani awe Rais? Huyu spika? Kweli maradhi mabaya,pole kaka Mwandosya utapona tu.
  16. K

    Mwigulu Nchemba aombwa kuongoza majimbo mawili, wananchi wazuia mwenge kwa muda...

    Dhana yakuwa Mwigulu ni gaidi,muuaji itabaki pale pale. Wajinga endeleeni kumfurahia
  17. K

    Freeman Mbowe,John Mnyika ndani ya Bunda leo

    Aluta Continua!
  18. K

    Mbowe aandika maandishi ya Uchochezi kwenye Gari lake, serikali mnafuga ugonjwa

    Inawezekana mtoa mada una tatizo kwenye ubongo,mara uchochezi mara Freelady.Binafsi nampongeza Mukya kupata mtoto pamoja na baba wa mtoto.Hongereni sana. Mungu amlinde na kumkuza mtoto vzr.
  19. K

    Jaji atoa Somo la UGAIDI kwa DPP na Wanasiasa

    Nashindwa kuelewa kwanini DPP anakosa uelewa wa sheria. Nina mashaka na elimu yake.
Back
Top Bottom