Search results

  1. E

    Mikael P Aweda kuishambulia TBC kupita ITV. Maoni yangu.

    kimsingi hakuna tv inayoitwa tbc jina sahihi ni tbzii au TBccm!
  2. E

    Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini...!

    Ni vema tukatafakari mambo kwa kina kama watanzania kabla ya kutoa hoja zetu hapa kwenye jukwaa, nionavyo mimi madai ya chadema kuhusu hati ya muungano ni ya msingi sana. Kwa hali halisi muungano unaoneka ni wa upande fulani jambo ambalo litaathiri muungano wetu tukufu hapo baadaye. Wito wangu...
  3. E

    Nilini viongozi waserikali wataacha kusema uongo??

    Suluhisho kila mmoja wetu atimize wajibu wake! tukiamua kwa umoja wetu watawajibika.
  4. E

    Zitto Kabwe 'amwaga Sumu' Kamati ya Mahesabu ya Mashirika ya Umma

    According Albert Einstein "You cannot solve the problem by using the thinking that created it". Kwahiyo hoja kwamba Bwana Zitto angekuwa chini ya uongozi wa ccm angengara tu ni dhaifu sana!
  5. E

    Rais aapisha tume ya Katiba!

    Nawatakia wajumbe wote kazi njema! Bwana Mungu wa majeshi awape busara na hekima.
Back
Top Bottom