Search results

  1. N

    Waliokuwa wakiuliza uhalali wa kamati ya Zitto kuwakamata vigogo wa serikali someni hapa

    Huyo Zito anataka sifa za 'Kijinga'au anataka yeye ndio awe Director General?? Pheeeeeeeeeew
  2. N

    Ukimya wa upinzani katika Matukio yanayotokea nchini, kulikoni?

    kama matamko ni muhimu basi tujadili tamko lililotolewa na kiongozi wa nchi ambaye ni amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama. Kwa maoni yangu tamko alilitoa ni Dhaifu kupita maelezo kutolewa na amiri jeshi mkuu kama kweli ana nia njema ya kulinda amani na utulivu wa nchi. Miaka...
  3. N

    Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

    Huu ni upuuzi na upumbavu mkubwa. Baada ya kuharibu hali ya hewa kwa kuvamia na kuharibu makanisa mnatafuta pa kushika. This is stupid and pathetic. You have useless minds!! Shame on you and whoever is behind this story.
  4. N

    Kikwete: Pamoja na utoto wake, kijana alifanya kosa kubwa kukojolea msahafu!

    Nimefadhaishwa na kusikitishwa na serikali dhaifu isiyo na uwezo wa kutekeleza wajibu wake wa msingi wa kulinda usalama wa raia na mali zao, halafu wanakuja na kauli nyepesi kwenye mambo hatari kama lililo tokea Mbagala. Tulipofikia pa watu kujichukulia sheria mkononi ati kwa visingizio vya dini...
  5. N

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Umejionyesha dhahiri ulivyo mfano halisi wa wataalam feki, usiyefahamu hata asilimia inayo changiwa na mwajiriwa na mwajiri! Analysis yako si ya kitalaam hata kidogo, ni uongo ambao siku zote mnautumia kuwahadaa watanzania ati wasichukue mafao yao wanapo maliza mikataba yao, ati wasubiri hadi...
  6. N

    Kilichojiri bungeni Tarehe 13 April (Muswada wa mafao)

    Ni mwendelezo tu wa sera beberu na kandamizi za serikali ya chama cha magamba. Sera kama hii hailengi kumsaidia mwananchi hata kidogo bali kulinda maslahi binafsi ya watawala. Ni wazi fedha nyingi za mifuko ya jamii kama NSSF zimetumika kufanikisha masilahi ya kisiasa ya watawala bila kujali...
  7. N

    Ningekuwa Mh. Mbowe; Kipande cha Hotuba yangu ya Leo Kingekuwa Hivi……

    Bila shaka Mh. Mbowe amepata mchango wako wa mawazo. Safari ya ukombozi ndio imeanza.
Back
Top Bottom