Search results

  1. M

    Rais Magufuli: Your Excellence I'm trying but I can't reach you

    Kwa kifupi utueleze hiyo PhD ameipata kwa kusoma kwa lugha ya Kisukuma?
  2. M

    Je, vitambulisho vya machinga ni lazima au ni hiyari?

    Kwahiyo kuwatambua wafanyabiashara wadogo ni kuwalipisha fedha zisizoendana na kiwango cha biashara wanazofanya? Kama suala ni kodi ni kwanini wasiweke utaratibu wa kufahamu mapato yao kulingana na mauzo ili walipe kile wanachostahili? Huu ni wizi.
  3. M

    Je, vitambulisho vya machinga ni lazima au ni hiyari?

    Kwani rais wetu huwa ana tabia ya kusikiliza wanasheria? Amevurunda mangapi yaliyoainishwa kikatiba na bado hasikii wala haoni?
  4. M

    Cyprian Majura Musiba Usimfanye Jokate & UVCCM mtaji wako!

    Ni kweli ni mbunifu wa mavazi, mnafikiri atakuwa mbunifu katika masuala mazito kama ya kisiasa? Kama amechaguliwa ili akawe mbunifu wa mavazi ya chama huenda akafanikiwa.
  5. M

    Kwa mara ya kwanza, Daudi Albert Bashite hakutambuliwa wala kutajwa na Rais. Hongera Mhe. Rais!

    Kufanya mazuri ni wajibu wa kila mtu, mabaya ndio yanayopaswa kuandikwa ili yaachwe kufanyika
  6. M

    Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

    Ni kwanini uhuru wa watu kutoa maoni unamkera sana? Kama anapenda kusikia akisifiwa tu hilo halipo.
  7. M

    Asante Magufuli kwa kuelewa hoja, sasa fanya kweli

    Hivi huyu ni Mwanakijiji yule yule niliyekuwa nikimfahamu miaka michache nyuma kwa hoja zilizojaa mashiko? Ninajiuliza mara kadhaa bila kupata majibu ni nini hasa kinaendelea kichwani mwake au ameamua kutumikia tumbo? 1. Hivi suala la kiongozi kutumia vyeti na jina feki kwako wewe sio suala la...
  8. M

    Kwa hali ilivyo, mikutano ya siasa ikiruhusiwa inaweza kuleta balaa

    Huwa anatoa kauli zinazoashiria kuwa anafyatuka bila kutafakari. Hivi awamu hii ya uongozi kuna waandishi wa hotuba za rais kweli?
  9. M

    Mkuu wa Wilaya ya Kishapu: Ukame umeua mifugo 3,000

    Mm sikubaliani na wewe, mkuu ndiye anayepaswa kuelezwa ukweli hata kama haumfurahishi. Wakuu wa wilaya na mikoa wanapaswa kuwa wakweli.
  10. M

    Rais Magufuli: Serikali yangu haitayafumbia macho magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi

    Kama yeye anapenda kusikia akisifiwa tu basi atateseka sana. Ayafungie tuone kama ndio utakuwa mwisho wa yeye kukosolewa.
  11. M

    Zitto: ACT tunadaiwa milioni 300

    Kikubwa kinapochopaswa kufikiriwa hapa ni tuhuma dhidi yake zilizopelekea yeye kuvuliwa uanachama. 1. Je ameacha matendo ya kuvujisha siri za chama chake kwa chama tawala? 2. Alikuwa chimbuko la migogoro ndani ya chama akitumiwa kufanya hivyo na ccm, je amebadilika? 3. Alianzisha chama chake...
  12. M

    Zitto: ACT tunadaiwa milioni 300

    Anayeweza kurudi ni mwanachama aliyeondoka mwenyewe kwa ridhaa yake kama Kafulila. Zitto alivuliwa uanachama akakimibilia mahakamani ambako napo alikwaa kisiki. Sina hakika kama anaweza kurudi ijapokuwa katika siasa hakuna lisilowezekana.
  13. M

    Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    Hivi Machali amefufuka lini? Kisiasa Machali ni mfu toka alipohama NCCR kwenda ACT. Kama yeye anaamini kuwa serikali hii inatekeleza yale anayoamini yeye kuwa ni mema basi hilo ni juu yake. Hapaswi na wala hana uhalali wa kudhihaki mitazamo ya wanasiasa wengine wenye mitazamo tofauti na yake...
  14. M

    Rais Magufuli aungwa mkono na BAKWATA kuzuia mikutano

    Kwani ni nani asiyefahamu kuwa BAKWATA ni moja ya jumuiya za ccm?
  15. M

    Mbona Haukuwa Uchaguzi Mgumu Kivile; ile Oktoba 25?

    Huenda alishaahidiwa nafasi ya ukuu wa wilaya na Dk. Slaa kabla ndoto zake hazijayeyuka.
  16. M

    Rais Magufuli: Ningejua kama Urais ndio hivi, nisingegombea

    Katiba mpya ndio suluhisho la matatizo mengi yanayoikabili nchi hii kama vile matumizi mabaya ya madaraka, ufisadi n.k.
  17. M

    UKAWA wote nipeni majibu

    Kwa hiyo serikali ya ccm iliendelea kumlipa Lowassa fedha kupitia (Richmon baadae Dowans na baadae tena Symbion Powers) baada ya yeye kujiuzulu? Kama sio yeye aliyekuwa analipwa ni nani? Kama kweli ni yeye mahakama zote ni za ccm, kwanini hawafungui mashitaka? Kikwete alitajwa na Lowassa siku...
  18. M

    Onyo: Wabunge wa UKAWA mko hatarini kukumbwa na aibu

    Hao wawili wenyewe wanafiki, Zitto alikuwa anakataa posho bunge lililopita kwa sababu alikuwa analipwa na ccm kwa kazi maaalum iliyokuja kumfukuzisha uanachama wa CHADEMA. Pia alikuwa anapokea posho zaidi ya mara moja kama mwenyekiti wa PAC. Sasa ameanza kujipendekeza kwa Magufuli ili atimize...
Back
Top Bottom