Search results

  1. O

    Aliyekuwa Diwani kata ya Kahororo (CCM) Bukoba ajiunga na CHADEMA

    Bravo chief km amejiunga na jeshi la ukombozi. Mwaka huu kagasheki ubunge atausiliza kupitia kasibante FM
  2. O

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Safi saaaana kamanda Ya kilimahewa umeyapata tulivyopiga mbwa na wenye mbwa Peeeeopleeeeeeeeeees
  3. O

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Bukoba manispaa Kata ya kashai CDM imebeba mitaa 9, CCM 0, Kitendaguro, CDM Mitaa 6 , CUF 1, CCM 1. Bakoba CDM Mitaa 3, CCM 2, Kibeta CDM mitaa 3 CCM 0, Rwamishenye CDM Mitaa 4
  4. O

    Zitto Kabwe mgombea ambaye hatagombea, mhanga wa mafanikio yake

    Zitto chali we mpe masifa hayo yote lakini umaarufu wake atausoma kwenye historia
  5. O

    90% ya kura za Siri zilizopigwa Bunge Maalum la Katiba ni "HAPANA"

    Kaka meza chloroquine ingawa ni chungu. Kwani ilipoundwa kamati ya maridhiano kwa waliopiga kura za wazi maana yake ilikuwa ninini? 6 anatafuta suruhu hata by photosynthesis
  6. O

    Tazama Maandamano ya CHADEMA Bukoba yalivyofanyika kwa aman na utulivu

    Kababu kwani si unaona ujumbe ulioandikwa kwenye bango? Issue sio wingi wa watu ni kufikisha ujumbe
  7. O

    Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

    Unajidhalilisha sana na pointless unazoporomosha, kumbuka siku za mwizi ni arobaini
  8. O

    Diallo amlipua Lowassa

    Chonka bojo egi ne mechi ya CCM Vs mgombea binafsi
  9. O

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano 24 Septemba 2014, Uwasilishaji wa Rasimu ya Tatu ya Katiba Mpya

    Thread gani hii unaleta hapa kutupotezea muda kafuatilie wewe na wajinga wenzio.
  10. O

    Maandamano ya CHADEMA Bukoba Mjini Septemba 24

    Lindeni watu wadai haki zao msikubali kutumika
  11. O

    Maandamano ya CHADEMA Bukoba Mjini Septemba 24

    Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni uoga, Subili cha moto huko mbinguni
  12. O

    Maandamano ya CHADEMA Bukoba Mjini Septemba 24

    Watapenya tu penye nia pana njia
  13. O

    Maandamano ya CHADEMA Bukoba Mjini Septemba 24

    Keep tuned salaam utazipata
  14. O

    Maandamano ya CHADEMA Bukoba Mjini Septemba 24

    keep tuned salaam utazipata
  15. O

    Maandamano ya CHADEMA Bukoba Mjini Septemba 24

    Watapenya tu penye nia pana njia
  16. O

    Maandamano ya CHADEMA Bukoba Mjini Septemba 24

    Hakuna mtu wa kusikiliza hoja nyepesi kama hiyo, Si kila mgaagaa na mpwa hula wali mkavu
  17. O

    Maandamano ya CHADEMA Bukoba Mjini Septemba 24

    Mwenye hangover ni wewe usiyejua unayekichangia unadhani, kutoandamana ndo kuwa mwelevu, watu wamebadilika. grow up dogo.
Back
Top Bottom