Search results

  1. L

    Mzimu wa Zitto waanza kuimaliza CHADEMA

    Jadi unaweza kufafanua zaidi ni kwa namna gani zzk anahusika na matokeo mabaya iliyopata cdm kwenye chaguzi hizi?
  2. L

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Huu ndio ukweli usiotakiwa kufumbiwa macho. Pamoja na kasoro nyingine za kimfumo kama vile uboreshwaji wa daftari la wapiga kura , matumizi mabaya ya vyombo vya dola lakini cdm ili muweze kujiimarisha zaidi na hatimaye muwe mbadala wa ccm 2015 maoni haya ya Benaire ni ya kufanyia kazi. Good...
  3. L

    Kamati Kuu ya CHADEMA kukaa Jumamosi (Jan 26, 2013)

    Tunawaamini CDM mtakuja na maazimio mazuri kwa mustakabali wa nchi yetu. VIVA CDM.....!
  4. L

    Mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari - Jan 22, 2013

    Viva CHADEMA...! Hizo ndizo siasa.
  5. L

    Mapokezi ya Lema ni kesho ndani ya jiji la Arusha kuanzia KIA

    Makamanda lazima haki iendelee kuinuka na kuwa juu daima. Huwezi kuizika HAKI milele.
  6. L

    Mbunge wa zamani CCM ajiunga na CHADEMA

    Swala la kupokea halina shida maana ndio siasa yenyewe lakini CDM wanapaswa kuwa makini sana isije kutokea kama yaliyoikuta NCCR miaka 1995 kuingia 2000.VIVA CDM!!
  7. L

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    chama kukubali ukweli sio kifo. MM amesema ukweli sana na tusipobadilika kamwe hatutafika popote.
  8. L

    Mfadhili wa CCM ajiunga na CHADEMA

    Viva cdm dom
  9. L

    usiku wa leo utaamua Tanzania inakwenda wapi..

    Uko sawa mkuu kwa kauli hiyo.
  10. L

    CUF yapeleka wafuasi Arusha na mabasi kutoka Dar

    Ktk hilo hujawatendea haki ol GeniusBrain popote walipo. Rudi kafikirie zaidi political position btn CDM & CUF in Arusha
  11. L

    Zitto Kabwe ndani ya Karatu

    Umenena vema mkuu, huu si wakati wa kujadili urais wa zzk bali kujenga cdm, go on kamanda zzk. Mabadiliko lazima.
  12. L

    Are you intellingent? jibu swali hili!

    umma utahukumu
  13. L

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    hata aseme sana ila ukweli utajulikana tu.
  14. L

    JF Exclusive: Dr. Ulimboka kwa maneno yake mwenyewe * Dakika chache baada ya mateso *

    Ni aibu kubwa na udhalimu wa kutosha kwa serikali inayojiita ya kidemokrasia kufumbia macho unyama huo.
  15. L

    TANZIA Bob Makani afariki dunia

    RIP Kamanda Makani kazi umeifanya na imeonekana wazi kwa kila mtu.
  16. L

    Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

    Kufanya usafi ndani ya ofisi za chama sio tatizo ila tuwe wavumilivu wa hoja ni ukweli usiofichika kuwa kesi ya Mh. Mnyika iko vibaya kidogo ila uzuri ni kuwa hata kama watamvua ubunge bado jimbo ni la CDM.
  17. L

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Mhh! Ngoja tuone serikali itawafanyaje maana kwa ccm kuwajibika.
Back
Top Bottom