Ni kweli zoezi hili limeferi, leo ni siku ya tano/sita, hawajafika kwangu kunihesabu mimi na familia yangu, huko Dodoma, sasa makarani watafika lini kutuhesabu kama hadi sasa hawajafika?
Ni kweli unachosema, mie naamini huko ndo vijana wanaenda kuunganisha nguvu na kubadilishana mawazo namna ya kuiondoa sisiem, kwani watakuwa pamoja kwa muda mrefu, watakuja na mbinu mpya nyingi, kwa miaka 3 iliobaki watakuwa wamepikwa vijana sio chini ya milioni 1.5, litakuwa ni ongezeko kubwa...
Nadhani hili ni swali ambalo halina mshiko hata kidogo, kwani unataka sahihi na waweka sahihi wa kazi gani, hata kama ni wawili wanakuhusu nini, wao hawajawahi kulalamika, wewe unataka nini, mimi sidhani watu makini kama viongozi wa CDM wanaweza kuacha suala la fedha likiwa loose kiasi hicho...
Umesema kwelikabisa, wakati wao CCM wanatumia mamilioni ya walipa kodi wa Tanzania, kulipa wenye malori na mabasi kuleta watu CHADEMA square, wenzao wa CHADEMA watu wanakuja wenyewe na wanachangia M4C kwa hiari yao, na kazi ya KUVUA GAMBA KUVAA GWAMDA INAENDELEA NCHI NZIMA.
hata ccm wapo wanaipenda CDM, wengine wako huko kwa sababu ya vyeo walivyonavyo, mtu kama Membe angelikuwa hana cheo/uwaziri angekuwa amevua gamba na kuvaa gwanda, huyu ni baadhi wa wachache ndani ya CCM angalau hawanuki ufisadi wa kutisha, kama kuna mtu ana ushahidi wa ufasadi wa waziri huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.