Search results

  1. S

    TPDC yakanusha utapeli wa ajira 500

    wakina chagonja wapo busy kuzuia maandamano YA CHADEMA
  2. S

    Vilio vyatawala msibani, viongozi wa CHADEMA watoa hotuba kali kwa wananchi

    Nilihudhuria Mazishi Kwakweli Nimewakubali CDM kwa ushirikiano
  3. S

    CHADEMA same magharibi yapata msiba mzito, maandamano yasitishwa

    Daah I Cant Believe R.I.P Kamanda
  4. S

    CHADEMA same magharibi yapata msiba mzito, maandamano yasitishwa

    My God!! Nimeshtuka Sana Kupata Taarifa Hizi, Nakumbuka Marehemu Alipo Tuhamasisha Kuchangia Fedha Tuka Jenga Ofisi Na Kununua Thamani Za Ndani, Tuliwah Kusafir Kwa Bodaboda Toka Makanya Kwenda Nkwini, Mgwari, Kasapo, Makongoro Hadi Chankoko Kutangaza Chama Na Kupokea Makamanda, Hakika Nimeguswa...
  5. S

    Utabiri wa kifo cha CHADEMA waigeukia CCM watabiri wahaha!!

    Zile enzi za ujinga zilishapita, sasa tumekua werevu. Hatuwezi kumvumilia Mbunge mwenye mawazo mufilis,
  6. S

    Anne Kilango ajitangaza kuwa 'mbunge wa maisha' wa Same Mashariki

    Itakula kwao yeye na Matayo wapo vijana wamejipanga kuwaporomosha vibaya majimbo yote
  7. S

    Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali

    Inadhìhirisha wao wanahusika 100% na swala la ulimboka. Waandish wa habari mtafuteni huyo security mpate habari kamili muujuze uma ujue uovu wanaofanya usalama na polic dhid ya wananch
  8. S

    Kuna nini uwanja wa Ndege Kilimanjaro?

    Mambo haya yapo!! Polisi + usalama =wapo kulinda maslah ya matajiri wachache na chama chao. Wewe unayebisha nadhani unahusika
  9. S

    Taarifa ya Afisa Uhusiano wa hospitali ya Muhimbili 03/07/2012

    Falme zinapingana! Yetu macho
  10. S

    David Mathayo David wasifu wako ndio huu. Ya nini kuwadanganya Watanzania?

    Kwa maneno haya kweli za mwizi ni Arobaini, utapeli huu alitumia na anautumia kuwarubuni wananchi wa jimbolake kwasababu hana mpango mkakati wowote licha ya kutapeli wananch kuwa yeye ndo anaye waletea mahind ya msaada, na kutoa kalenda, na kanga na hongo ili wamchague. Za mwiz arobaini
  11. S

    Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    Wamepotosha Bunge kuwa madaktari wamerudi kazini.
  12. S

    Mh. Mabumba, Mh. Manyanya & Mh. Mwigulu, Msituharibie CCM yetu!

    Nilitegemea Usalama wa Taifa wamkamate Eng Manyanya ili akatoe ushahidi, kwasababu watu wanasubiri sana taarifa ya utekwaji wa ulimboka. Chakushangaza namuona tena huyu dada bungeni. Mmh
  13. S

    Madaktari bingwa Muhimbili Watangaza mgomo rasmi

    aliyetoa taarifa ya madaktari kurejea kazni na TBC aumbuke sasa
  14. S

    Bungeni: Sugu awachana wabunge Vijana wa CCM na kawahusisha na utekaji wa Dr. Ulimboka

    Lisu amemtaka mwenyekit kuacha Uchief Bungeni
Back
Top Bottom