Search results

  1. C

    SWALI LA UGOMVI: Tatizo kubwa la familia za Watanzania ni ngono?

    mada na wachangiaji vyote viko poa kichizi.
  2. C

    Mwanaume wangu anaomba nisimwache ninampenzi mwingine

    kama vi wachukue wote wawili wawe wume zako na wajuane hapo nitakuona bingwa!
  3. C

    Wanawake Makabila Gani Sio Vicheche

    majibu yenu wana Jf hayaridhishi kwa maana hataki kujibu sawia!
  4. C

    Siri ya waraka wa Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwake

    kupambambana na mafisadi ni kazi ngumu sana.watu hawa wanajua kila kitu cha serikaili na wengine wamo ndani ya serikali.Wana kila mbinu za kijasusi zakuweza kufanya mambo yao yafanikiwe.Kuweza kuwapata watu wenye upendo wakweli wa watanzania na nchi yao ni kazi.Watu wakisha yapata madaraka...
  5. C

    Machali atolewa nje ya bunge kwa utovu wa nidhamu

    Jamani hawa magamba ndio wanakata roho taratibu,ngoja tuwavumilie hadi 2015.Tutaona jeuri yao iko wapi.
  6. C

    Je UCHAGUZI MKUU 2015 Utaipa CCM au CHADEMA KURA YAKO? Kwanini?

    imefika wakati wa watanzania kuamka toka usingizini wa kifikira.kama kweli tunahitaji maendeleo basi hatuna budi kubadili upepo mwelekeo.Huwezi kuongozwa na itikadi za chama kimoja miaka yote.Mbona wao hawamwaachi mwenyekiti huyohuyo kwenye chama chao aongoze miaka yote?Kama hili haliwezekani...
  7. C

    Imedhihirika, Lowassa Mguu Mmoja CCM, Mwingine Chadema

    Kiongozi kama huyu aliyebobea ccm kubadilika,kumtoa uccm ni vigumu kama ilivyo kwa mbwa mzee kumfundisha sheria.kwa maana nyingine Ngozi haiachi asili yake
  8. C

    Kulikoni Prof. Mwandosya amenyoa nywele au ni ugonjwa kama wa Dr. Mwakyembe? Tujuzeni tafadhali?

    Atafanya kazi ipi wakati wizara yake siyo maalum?Na hiyo wizara aliyopewa sijui inahusika na shughuli zipi?Ebu jaribu kufikiri wewe labda ni mwanfunzi halafu unaambiwa huna darasa maalum.Lakini upo shuleni.Je utakuwa unafanya nini hapo shuleni?Huu ni ubabaishaji mtupu!!
  9. C

    Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

    kama mambo ndio hivyo.Ni bora kila jimbo likajitawala.
  10. C

    CCM kutosimamisha mgombea Arusha Mjini

    ccm hana chao arusha mjini , wao pia wanalitambua hilo.
  11. C

    Angalizo hukumu jimbo la segerea.

    ccm inazidi kuoza na kutoa rutuba nzuri inayoistawisha cdm.acha tupate mazao bora.
  12. C

    Kuelekea ukombozi wa Nchi yetu: Chadema warushe marudio ya M4C Arumeru

    ni vizuri ikifanyi kila wilaya ili watanzania wakajitambua walivyo watumwa ndani ya nchi yao.hivyo basi wanahitaji ukombozi wakweli.
  13. C

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    unaweza ukawapumbaza watu kwa wakati fulani lakini si kwa wakati wote.
  14. C

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    tunahitaji takwimu za kweli na uhakika zaidi.
  15. C

    kali

    kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni ndo nionanvyo muda huu arusha mungu ibariki chadema mungu wabariki wana arumeru
Back
Top Bottom