Tatizo la Traffic Police barabarani: wananchi tunacheleweshwa sana kwenye shughuli zetu tukiwa kwenye daladala kwa daladala hiyo moja kusimamishwa mara kadhaa na Traffic kwa trip hiyo hiyo moja. Kwanini zisitumike mbinu mbadala?
Viongozi wetu wanasafiri nchi za nje sana na wanaona nchi za...
Tanzania tuitakayo ni lazima Serikali yetu itengeneze miundombinu ya raia wake kupata ajira ya kudumu na hilo litasaidia rushwa kupungua kama sio kuisha kabisa, mfano: katika familia ya watu 11 namaanisha baba, mama na watoto ni baba peke yake aliyeajiriwa huku watoto wamekuwa wakubwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.