Kuna ajenda kubwa nyuma ya chama cha Act wazalendo inayoongozwa na Zitto na Kitila katika issues ya Ubunge wa Africa mashariki, na wanao chezesha mchezo huu ni ccm , walichofanikiwa mpaka sasa ni Cuf kupata katibu mkuu mpya, na kupata wagombea watatu wa Ubunge wa EALA.
Wakati huku mnaendelea...
Kama walifikiri chadema ni chama cha msimu, sasa ndio kwanza kazi ndio kwanza inaanza IMBA UKOMBOZI OPERATION inamaliza nyanda za juu Rais anaanza magamba ngoma inogile mwaka huu.
Idara ya sanaa Chadema makao makuu inakuretea operation imba ukombozi kanda ya nyanda za juu kusini.
Tarehe 05/04 Njombe
Tarehe 08/04 Makamako
MKOA WA MBEYA:.......TAREHE 10/4/2015 mbeya mjin viwanja vya uyole....
11/4/2015..mbarizi mjini...
12/4/2015...MJI WA UMALILA...
Waswahili wanasema msitu uleule ila nyani tofauti, nani asiyekumbuka augustino lyatonga Mrema alivyojiudhuru ubunge kwa mbwembwe mwaka 1995 na kujiunga na Nccr mageuzi na kuwa m/kiti? Nyuma ya pazia kukiwa na ccm na usalama.
Akaja Fred Mpendazoe mwaka 2010 akang'atuka na kuacha ubunge na...
Jana prof kitila mkumbo ameonekana kwenye picha akimpokea Zitto kabwe kwenye zoezi la kumkabidhi kadi. Mwaka Jana huyu prof kitila mkumbo alipoteza ukuu wa chuo kwa sababu ya kuwa Kiongozi wa chama cha siasa kinyume na taratibu za kazi yake.
Leo anaonekana 100% tena kiongozi wa chama cha siasa...
Jimbo la Segerea ni moja ya majimbo nane (8) yaliyoko mkoa wa Dar es salaam, ni jimbo jipya lililoanzishwa mwaka 2010 kwa kugawa jimbo la Ukonga, na sasa kuna jimbo la Ukonga na jimbo la Segerea.
Jimbo la Segerea limepata Umaarufu baada ya Uchaguzi wa mwaka 2010 kwa chama cha Chadema kufanya...
Hakimu mkazi Waliwandwe Lema wa Mahakama ya Kisutu mpaka muda huu wa saa kumi na moja jioni hajatoa dhamana kwa Makamanda wa CHADEMA na yuko Ofisini.
Kuna kila dalili za kuwa na maelekezi fulani ya kukwamisha zoezi la dhamana kwa wausika, tutaendelea kuwapa taarifa zaidi...
Naibu Mkurugezi wa ulinzi wa CHADEMA bw Hemed Sabula na Benson Mramba wanaoshikiliwa na polisi Makao Makuuu ya polisi kwa tuhuma ambazo hazijawekwa wazi, hawajapewa Chakula toka wahamishwe kutoka kituo cha Orsterbey kuja central.
Hilo kimefahanika Jana wakati Katibu mkuu wa CHADEMA Wilbroad...
Inasikitisha chama kinachohubiri haki za binadam na utawala bora wanapochukua hatua za kumpiga mlinzi wao kwa tuhuma tu zisizokuwa na uthibitisho.
Huu ni upotoshaji kigezi yuko salaama na Jana katoka kwa dhamana na hajaenda hospital acheni unafiki
LIVE UPDATE UCHAGUZI SERIKALI ZA MTAA PWANI na DAR ES SALAAM (CALL CENTER CHADEMA)
hali ni mbaya sehemu kubwa ya Dar es salaam sehemu nyingi uchaguzi humehairishwa kwa mapungufu mengi kama watu kukamatwa wanapiga kura mara mbili,vifaa kukosekana,wasimamizi kutofika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.