Search results

  1. S

    Wazazi hii tabia si njema hata kidogo....

    Ni sahihi kabisa Ndugu zangu kuna Wazazi sijui wanategemea nini juu ya watoto wao coz wanafanya mambo mengi mabaya afu watoto wao wanangalia baadae watoto wanahalibika wanaanza kusema watoto hawa hawana adabu.mmmmmmmm.....hapana inakela wazazi tuwape makuzi mazuri watoto wetu pamoja na maadili...
  2. S

    MAKINDA: Nusu ya wabunge wataka kuacha ubunge kutokana na hali ngumu ya maisha

    Mbona wao hawachangii chochote au hawapo humu?noooooo wao kwanza ndo waanzilishi wa hii kitu na kwanza tumewaona,afu kwa nn waache ubunge nawakati huo walikuwa wanajua nn wanakifuata?noooooooo makinda kuwa mkweli una lako jambo au ndo unataka kutimiza ya mwanalisi kuhusu baraza jipya ndo...
Back
Top Bottom