Search results

  1. temboo

    Safari ya Kikwete na Kifo cha Kanumba

    kanumba alikuwa anaandaliwa kuwa mbunge wa shinyanga kwa tiketi ya Chadema je mnalijua ?
  2. temboo

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    apelekwe kwa pilato mapema huyooo hafai
  3. temboo

    Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

    Kikwete ni muda wa kuudhibitishia ukweli watanzania kama tuhuma hizi ni za kweli na kwa nini atajwe mkapa ,Baba wa taifa kapotea nahisi tukizembea hata Kiongozi wetu atapotea alafu tutapewa Story
  4. temboo

    Rushwa na faini za trafic barabarani

    Tanzania rushwa inawezekana kuisha kuna malipo kwa njia ya electronics ukukamatwa bora ulipe kwa njia hiyo ziwekwe hizo njia mambo ya kuandikisha makaratasi yamepitwa na wakati umesikia kamanda wa POLISI SHULE IPO
  5. temboo

    Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    Duniani kote wanajua maradhi yaliyokuwa yanamsumbua baba wa Taifa mwalimu Nyerere sasa watu wanapotosha Kizazi cha taifa letu ,huyu Mkirua kwenye jamii Forum si mtu mzuri anawafundisha nini kizazi chetu kuwa taifa letu ni taifa la Wauaji Mungu akusaidie na serikari ukusaidie pia kwa njia...
  6. temboo

    Kwa hotuba hii ya Rais, Tujiandae na mgomo mkubwa wa madaktari

    People are always shouting they want to create a better future.bu remember to be masters of the future is to change the past." na msikubali kuwa wajinga kuna watu wanapenda mabaya kama bibikuku na wengine JK kajishusha na amekubali kusahihisha mapungufu yake Tumwombee dua sawa jamaniiiiiiiiii
  7. temboo

    Leo mbunge mmoja wa chadema sawa na wabunge 30 wa ccm, kesho mbunge mmoja wa ccm sawa na wabunge 60

    huwezi kusema mtu mmoja ni sawa na watu 30 “A paranoid is someone who knows a little of what's going on. ”
Back
Top Bottom