NAPE wewe umetoa Ushauri gani kwa Tume ya katiba na pia tatizo lenu ni kupenda madaraka bila kuwa na determination focusing forward insteady ya kuwa na mipango mingi isiyotekelezeka so ung'eonyesha mtazamo positive kwa wananchi bila kuwa na mtazamo wa kichama because NAPE u like to be a...
"personality is humanity and not a thing" amakweli JK NI POPO he chewing and spreying<kung'ata na kupuliza > nikiwa na maana anawabase madaktari na kuwaomba msamaha ana maana gn ? kiongozi wa nchi anafundisha ni jamii halisi ya kitanzania
Jk hana hata uchungu kidogo juu ya watanzania wanaopoteza maisha yao ,wasio na hatia ????daw ya kuahidi utekelezaji ni kutekeleza ,kikao kitkachofanyika kesho juu ya wazee wa ccm pamoja na jk???wanalenga hasa nn???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.