Search results

  1. L

    Yanayojiri katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA katika Ukumbi wa Mlimani City DSM leo March 8, 2020

    Kumbe na wewe umeonae baada ya kuona BAWACHA wanavyokimbiza wanaleta mambo ya yanga
  2. L

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Hebu tuipende Tanzania tuache ushabiki usitusaidia kitu. Kwanini nyie wanachama wa ccm mnajimilikisha uhalifu?
  3. L

    Joseph Musukuma na Madiwani Geita Wafikishwa Mahakamani, wasomewa mashtaka manne

    Kazi ipo huyu Bwana alijaribu kuwageuka kina nape na Bashe akidhani atasalimika kwa kujipendekeza soon aweza kuishia kama manji
  4. L

    Bloomberg: Tanzanian Leader's War for Taxes Puts Economy in Firing Line

    CHADEMA ndio walisaini hiyo mikataba na kuwapa madini wathungu?
  5. L

    Bloomberg: Tanzanian Leader's War for Taxes Puts Economy in Firing Line

    Umenena rais anapigana vita nyingi mwenyewe kwenye dunia ya leo kushinda ngumu. Ilipaswa ashirikiane na watanzania wote bila kujali political affiliation ili adui awe mmoja tu. Lakini sasa kumekuwa na multiple enemies.
  6. L

    Shehena ya mizigo inayosafirishwa katika viwanja vya ndege nchini yashuka

    Hata mimi ninachokiwanda na cherehani 8
  7. L

    Picha: Rais Uhuru Kenyatta amzawadia gari Mbunge John Mwirigi

    Kwani lazima tu akosoe ndio awe bora kwa watu wake?
  8. L

    Godbless Lema: Polisi haliwezi kuwakamata watuhumiwa wa mhe. Lissu kwani unaweza kumkamata mkeo kwa kukuzalia watoto?

    Yule naye alikuwa mtu asiyejulikana haloo hata polisi hawakumuona. Watu wasiojulikana hata kuwaona na kuwatambua ni kazi ngumu sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    Wanasiasa wamjia juu Omari Mahita

    Iko siku watathibitiwa hata wao waache waendelee tu. Watahukumiwa kwa makosa yao tu wasisahu jinai huwa haifi hata siku moja. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Kimetoa tamko na kulaani Jaribio lililoshindwa la kumuua Mheshimiwa Tundu Lissu

    Hiyo tarehe ya barua ni August 7 mbona ya changanya? Ni bahati mbaya au ndio tarehe iliyoandikwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    Live coverage ya kuumbuana

    Hii hatari sana kuwa taarifa za kamati ya bunge hazijadiliwi tena bungeni bali via live coverage na kwa presidaa haya bhana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. L

    Mh Ester Bulaya, Rose Kamili, Tulia Akson na Jenister Mhagama washangilia ushindi wa wanawake EALA

    Wote ni makamanda na walipitishwa na Kamati Kuu maana walionekana wanatosha kwenye hizo nafasi. Hata Angelita profesa Safari bado kuna ambao wangekosoa tu. Tuwape tu muda kila mtu anazo strength na weakness.
  13. L

    RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

    Yeye ndiye kiongozi aliyechaguliwa na wafiwa kuwa kiongozi wa jimbo hivyo siyo sifa ni haki yake kabisa kuwapa pole watu wake Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
  14. L

    Lema angeshiriki maandalizi ya kuaga miili sio kusubiri kipaza sauti jukwaani

    Sijakuelewa kabisa. Nani katukana labda? Ukweli unabaki tu kama ulivyo mbunge wa jimbo na mayor walipaswa kutoa salaam kwa watu wao. Kama kuna mtu anasema hawana maana aeleze hao wengine walikuwa na maana gani basi? Tunapochangia hapa hatujuani ila kwa maandishi yako tunakuelewa ulivyo maana...
  15. L

    Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Hapa Mkuu wa Mkoa hajawatendea haki wananchi wa Jiji la Arusha maana Lema ni maamuzi yao na mayor pia ni maamuzi yao.
  16. L

    Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Subiri kesho uone kama kunyimwa nafasi Lema hakutaandikwa na kutakuwa na maana kubwa kwa wananchi wake kuliko unavyofikiria.
  17. L

    Lema angeshiriki maandalizi ya kuaga miili sio kusubiri kipaza sauti jukwaani

    Akili yako haikusaidii kabisa inakuaje mbunge wa jimbo asipate nafasi ya kusalimia apewe Mpango ambaye hana hata jimbo?
  18. L

    Lema angeshiriki maandalizi ya kuaga miili sio kusubiri kipaza sauti jukwaani

    Lema ameshiriki huu msiba wa watu wake kikamilifu halooo acha kushabikia chuki za kisiasa maana hata wewe huwezi kuwa salama uhasama na chuki za kisiasa zikifikia kilele
  19. L

    Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Wewe unaona ni sahihi sana huu ubaguzi? Je unadhani wewe utakuwa salama huu mtindo wa chuki za kisiasa ukiendelea???? Hebu tulipende taifa hili.
  20. L

    Bashe: Kuna kikundi ndani ya TISS kinahusika na utekaji. Wabunge 11 wapo kwenye orodha ya kutekwa

    Kazi kweli kweli ndio maana Rais alikuwa anaomba aombewe nini ?
Back
Top Bottom