Search results

  1. AUSTINE PhD

    Naomba ushauri ndugu zangu

    Ndugu zangu wana JF nina mdogo wangu alipata shida ya meningitis pindi alipokua mdogo lakini inaonekana kua ugonjwa huu ulihathiri mfumo wake wa uongeaji akiongea maneno yake ni kama hayaelewiki kwa wepesi. Kwa kulitambua hilo tuliamua kumpeleka shule ya mahitaji maalum lakini cha ajabu mpaka...
  2. AUSTINE PhD

    Vijana wa Kitanzania kujiajiri

    Habarini, wanajamii wa forum nimatumaini yangu kuna hamjambo Kuna jambo linanitatiza sana. Kwa sasa ni mwanafunzi wa shahada na naingia mwaka wapili lakini kila nikirudi likizo nyumbani swala la kukaa tu nyumbani linanitatiza sana nimekua nikiwaza bila kupata majibu sahihi. Ningetamani sana...
Back
Top Bottom