Search results

  1. Jentelomeni

    Nikapime DNA au nikubali tu yaishe?

    Habari za maisha wakuu Tulitengana akaondoka na mtoto akaenda kukaa kwa dada yake baadae alipata mtu mwingine akamuoa siku ya ndoa yake aliambiwa na dada yake mkubwa pamoja na mume wake huyo kua anipigie simu kwamba anaolewa na kama nikitaka kumsalimia mtoto nimpigie dada yake na sio yeye...
Back
Top Bottom