Search results

  1. Mnyaru98

    BIASHARA YA MASHINE YA KUKOBOA NA KUSAGA NAFAKA

    Habari ya JF, Naomba kufahamu jinsi ya kuanzisha mradi wa mashine za kukoboa na kusaga nafaka kama mahindi na mpunga . Aina za mashine , changamoto na utaratibu upoje ili niweze kuchukua hatua Nawasirisha shukrani zangu [emoji120][emoji120] kwenu wana JF
  2. Mnyaru98

    Wapi naweza pata spea za baiskeli kwa bei rahisi

    Habari wana Jf naomba kujuzwa chimbo wanako uza bei nzuri kwa jumla jumla spea za baiskeli kwa dar es salaam mimi nipo mkoani
  3. Mnyaru98

    WIFE WANGU KILA BAADA YA SEX PAPUCHI YAKE INAVIMBA

    Habari [emoji2772] zenu wana JF Nimekuja hapa shida yangu kama inavojieleza hapo juu[emoji115] Mke wangu kila tukifinya sex papuchi (uke) wake unavimba hasa mashavu yapapuchi Shida nini na matibabu yake nivipi? Natanguliza shukrani[emoji120]
  4. Mnyaru98

    SoC03 Uwajibikaji na utalawa Bora katika kuchochea kilimo kukua

    Uwajibikaji na utalawa bora ni muhimu sana katika kuchochea kilimo kukua. Hapa kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuzingatiwa katika kuchochea na kuleta mabadiliko chaja katika sekta ya kilimo, 1. Elimu na Utafiti: • Kuanzia vituo vya mafunzo na kuwapa wakulima mafunzo juu ya mbinu za kilimo...
  5. Mnyaru98

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kulinda thamani ya fedha

    1. Udhibiti wa Mfumuko wa Bei: Mfumuko wa bei unaweza kuathiri thamani ya fedha. Serikali inapaswa kuwa na sera na mikakati madhubuti ya kupunguza mfumuko wa bei ili kudumisha thamani ya fedha. Kwa mfano, Benki Kuu inaweza kutekeleza sera ya kupunguza utoaji wa fedha ili kuzuia mfumuko wa bei...
Back
Top Bottom