Basi acha ijengwe tuone ni wapi pamelazimishwa unachohofia wewe ni kuhisi utatoa upinzani mkali badala ya kukiona kama ni moja ya viwanja vitakavyongeza fursa na uwekezaji ukanda wa ziwa sanjali na kusogeza huduma huku tofauti na hali ilivyosasa tunaingia extra cost za kuunga ndege wakati...
Mimi binafsi ninajamaa zangu wawili wanafanya kazi South na familia zao zipo huku, wapo walioko Saudi, Mauritius, USA nk na wanalalamika sana kuhusu kukoseka kwa International Airport wewe unapinga kivipi, Majuzi hapa Mh Rais Mama Samia alikili haipendezi minofu ya Samaki kutoka Mwanza kwenda...
Bro haipendezi kuwasemea watu tulioko huku tunauona huo uhitaji na hata serikali inauona huo uhitaji sasa kivip wewe useme abilia hawapo unataka shughuli zipi zi determine uhitaji wa International Airport tumekwambia uwanja haujaanza lakini tayali international flight zaidi ya kumi zimeshaomba...
Kuna Wafanyabiashara wangapi wanaenda nje kutokea Mwanza na mikoa ya kanda ya ziwa, Vip je Kampuni za Madini zenye Foreigners kama Capital Drilling, Scandinavian, Buzwagi, Geita Gold, na Mgodi mwingine unataka kuanza Nyanzaga, Usafirishaji wa Bidhaa zitokazo ukanda huu kama Samaki, Bondo...
Dah ila hii nchi tunachelewashana wenyewe Centralization haijawahi kulitoa taifa Lazima tujifunze Decentralisation ili tuongeze base ya Mapato yetu na kusogeza Huduma kwa Wananchi yaani kweli unaona ni sawa minofu ya samaki kusafirishwa kupitia Entebe na Nairobi kwa hoja tu tuendelee kufeed KIA...
Wazo zuri sana tuandae fursa mbadala wakati tungali tunasehemu za uzalishaji sio uzalishaji ukikoma na pesa ikakata ndio tuanze kuumiza akili, ni aibu kuishi bila Plan B hata kwenye maisha ya kawaida
Wanawasaidia kaka bila kuwapelekea vikao na kuwajengea Taasisi nyingi za Serikali we unafikili uchumi wao utasisimuliwa na nini, ukilinganisha na Mwanza maana utalii ni wa Mzungu wakati Mwanza Wavuvi kila baada ya week tatu Wantegeluka wanajibebea maokoto, wale wakuvua Samaki kila it iitwapo...
Chakushangaza huo Mladi wa mwaka juzi tu hapo utajaa nyumba nyie wazee wa satellite city toka kikwete hajatoka madarakani ephrahim kibonde hajafariki anatangaza hou mladi mpaka leo bado mnatangaza viwanja, km 12 toka katikati ya mji tena uwanja wa ndege upo karibu tu hapo bado mnasuasua Mwanza...
We bado kumbe urasimishaji tumepimiwa unapimiwa hivyohivyo ulivyo, Wanaopanga ni hao wenye miladi hiyo kumbe hata hujawahi kushiriki urasimishaji, Hawa ndio wanaopanga mji urasimishaji hawapangi mji unapimiwa ulivyo unapewa hati
Hapo kilichokutisha ni hiyo Video ya kutengeneza tuonyeshe iliyotekelezwa ikifanana hivyo sio kwa Tanzania hii Hata hivyo huko nilikokuonesha pakiwekwa miundombinu kama Lami utapasahau achana na mavideo yakutengenezea studio
Ninavyojua mimi Slum ni sehemu yenye mlundikano wa nyumba duni bila mpangilio kiasi kwamba huduma za kijamii na miundombinu hazifikiki ama zinafikika kwa shida, Hakuna pahala dunian Viwanja vya High Density vikakosa na sehemu yeyote iliyopangwa kunakuwa na High Density nyingi, Medium Density...
Kwakweli hapa kwenye Vyuo sijawahi kuielewa serikali tunakosaje chuo kikuu cha kiserikali ukanda wote wa ziwa ,Maana huduma hufuata pence Mahitaji yani Mwanza Population ya 3.6 Million, Shinyanga 3. Something, Geita, Mara , Kagera mpaka Tabora huko hakuna chuo kikuu cha serikali zaidi ya Matawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.