Search results

  1. Mwagabona

    Maswali gani yanayoulizwa katika nafasi ya Committee Clerk (Katibu wa Kamati Daraja la ll)

    Habari wakuu, Naomba kusaidiwa kujua maswali muhimu yanayoulizwa kwenye nafasi tajwa hapo juu. Kiukweli hii ni kada ambayo siifahamu vizuri ila akitokea wa kunielewesha na kunipa namna ya interview zao zinakuaje naamini ntaleta ushindani. Shukrani
  2. Mwagabona

    Serikali ina Mpango gani na vijana wa JKT wa kujitolea?

    Ndugu zangu wana jamvi, habari za muda huu? Mimi nina jambo langu hapa kuhusu serikali kuwapa ajira vijana wa JKT, kila mwaka serikali huchukua maelfu ya vijana ambao huenda kujitolea huko Jkt. Sasa cha ajabu serikali inashindwa kusimamia hawa vijana wetu kupewa ajira kwenye vyombo vya ulinzi...
Back
Top Bottom