Search results

  1. G

    Blandina Nyoni na uhamisho wa uonevu, na kupendelea kabila lake, marafiki

    Huyu mama Blind Nyombi, kama alivyomhamisha Mpandana kwenda Muhimbili na nafasi yake kumpa ndugu yake. Ni mama aliyejaa ubinafsi, undugu, ukabila na kuonea wale amabo hawapo karibu nae, au ambao sii ndugu zake. Mfano wa Kamanda mkubwa wa malaria, DR. MWITA aliyekuwa Meneja wa Mpango wa MALARIA...
  2. G

    Dr. Mwele Malecela naye hafai...!

    Yule mama blind ana washikaji wake kawapanda katika idara nyeti, na ndio anakula nao mapesa ya kazi za afya. Pelelezeni TISS, na hata TFDA aliyekuwa mkuu TFDA alipoingia tu Nyonyoa,walipishana naye yule mama akaamua kuondoka.Baada ya mama kuondoka kamuweka mtu wake wa damu. Huyu mama Nyoni...
Back
Top Bottom