Blandina Nyoni na uhamisho wa uonevu, na kupendelea kabila lake, marafiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blandina Nyoni na uhamisho wa uonevu, na kupendelea kabila lake, marafiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GOLIGOTHA, Feb 16, 2012.

 1. G

  GOLIGOTHA New Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mama Blind Nyombi, kama alivyomhamisha Mpandana kwenda Muhimbili na nafasi yake kumpa ndugu yake. Ni mama aliyejaa ubinafsi, undugu, ukabila na kuonea wale amabo hawapo karibu nae, au ambao sii ndugu zake.

  Mfano wa Kamanda mkubwa wa malaria, DR. MWITA aliyekuwa Meneja wa Mpango wa MALARIA. Baada ya yule daktari kukomaa, kuwa pesa ya Global Fund hataigusa, Nyomi aliazimia kumhamisha mzee wa watuu kwenda Kanda ya Ziwa. Hebu tazama gharama za kumhamisha mtu kwa nia yako mbaya, wakati madaktrai wanahitaji call allowance,je kweli hiyo ni kuokoa gharama ua ???
  Kamhamisha pia kijana wa Mpango wa UKIMWI,ambaye ni Katibu wa Afya kwenda Kibon'goto....jamani ili amlete ndugu yake /mtu wa kabila lake,toka Kibong'oto kuja wizarani.Gharama za uhamisho kwa huyo jamaa yake aitwaye Martin K. Magongwa, ni takribani Tshs 11,842,228/=???Jamani , je kulikuwa na sababu gani ya kumhamisha huyo afisa toka aliko kuja WIZARANI???...Matumizi mabaya ya madaraka.Jalada lake ni MP.64059.

  Wachunguzi, tafadhali fuatilieni, ili kuona uhalali wa uhamisho wa watu waliohamishwa na mama Nyomi, na gharama zilizotumika, huku akizuia kazi za wizara zisifanyike kwa kisingizio mgawo haujaletwa,.....kumbe anajifanyia mambo yake atakavyo yeye.

  Huyu mama anatakiwa AFILISIWE, NA AFUNGWE JELA MAISHA YAKE YOTE....NA AOMBE MUNGU ANGEKUWA CHINA... NI KUNYONGWA,HUWEZI TUMIA MADARAKA KWA UBINAFSI KAMA UKO KATIKA OFISI ISIYOKUWA NA WATENDAJI.Uliwadharau watumishi wa afya, na najua sasa unajuta maneno yako ya kuudhi watendaji, kujisikia na kujiona kama Mungu MTU. Uliwahadaa watumishi wa Afya kuwa ukihama kuwa watafanya Party kubwa kuliko ya Wizara ya Maliasili.....

  Sasa hukuhama ilia umejivua nguo mwenyewe....na kwa taarifa nilizonazo ni kuwa watumishi wa AFYA hususani madaktari wa Muhimbili na wauguzi uliowatukana kuwa ni wachafu, na hawajui kiingereza wanasherekea sana, na wanayofuraha sana.
  APANDACHO MTU NDICHO ANACHOVUNA.....''
   
 2. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  sasa yeye yupo wapi ameshaondoka wizarani au?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Duru zingine zinasemA bado yupo ofisini...!
  Utawala wa Babu huu, unaweza kuuchezea sharubu kama utakavyo!
   
 4. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280
  Kwani ni huyu ni kabila gani
   
 5. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,557
  Trophy Points: 280
  Huyu mama inakula kwake! Mpaka dakika hii hajielewi mambo yanavyomuandama!
   
 6. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli kwani hulka yenu ni kudanganywa kuwa mu wasafi wakati ni wachafu!! Sasa huyu mama alivyowaambia kuwa huko Muhimbili mlikuwa wachafu kwani ni uongo? Ni kweli Muhimbili ni pachafu kwasababu ya kukosa vitendea kazi na wafanyakazi kutokujituma vilivyo kwasababu mbalilmbali ikiwemo uduni wa maslahi; hata hivyo inakuwa si kosa nyie kuambiwa ni wachafu wakati kweli ni wachafu!!
   
 7. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Bora imekula kwake, huyu mama alikuwa anajiona kama mungu mtu pale wizarani.
   
 8. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Huyo unayemtetea ndiye alitoa tenda ya kufanya usafi pale. [kwa kampuni anayohusiana nayo].
  Kwa hiyo mwambie yeye ndiye mchafu.
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Feb 16, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  At the end of the day she will come out clean na wale mahasimu wake watagundulika kuwa walikuwa na ajenda zao za siri ambazo hazina tija kwa mustakabali wa nchi!! Na kwa precedent kama hizi nchi kuitawala itakuwa ngumu sana kwani siasa will override professionalism and the requisite performance standards will decline if they have not done so already.
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tuliza kitenesi ujui ulisemalo wewe.
  Kwa hiyo, huyo mama yako nyoni ana 'usafi' gani?
  Hacha kukurupuka wewe!
  Unatakiwa ukampe pole kwa kupoteza zile 80 bil alizokuwa ameifadhi kule exim bank!
  Huyu mama hafai hata kidogo, au na wewe ni kati ya wale vijana wanaommega?
   
 11. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Mada hii kwa vyovyote imeletwa na mtu anayefanya kazi wizara ya afya kwa jinsi ilivyogusa ukweli moja kwa moja kumhusu huyu mama!
   
 12. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyu mama ni nyoka, nitashangaa sana kama asipopanda karandinga!
   
 13. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  U must be sick!!! Fuatilia historia ya Blandina Nyoni kuanzia Hazina, Mali Asili na Utalii ndio utajua watu wanazungumzia nini! Huyu mama ni fisadi kuliko neno lenyewe! tenda zote anajipa mwenyewe na ndugu zake, mbinafsi, jeuri, muuaji...amesababisha mgomo wa madaktari kwa jeuri yake na kuua ndg zetu waliokosa huduma ya madaktari. Blandina Nyoni ni zao la Luhanjo kama hujuwi.
   
 14. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #14
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45

  Huyu mama kweli nuksi....kumtoa Natonal malaria control coordinator kisha akamtupa Bukoba. Akampa kazi huko, RMO au? Mbona imekaa kama demotion hii. halafu huyo martin magogwa sio materia ya kupelekwa wizarani;sifa yake kubwa nayoifahamu mimi ni "kupiga hela za miradi" naweza ku connect dots kwanini mama Nyoni alimuhitaji wizarani. Duh! safari ya kufikia maendeleo imejaa vizingiti kibao!
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mtuma post si daktari...
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  in tanzania anyone can come clean... Even rostam and his crew

  Blandina is devilish and should be left rotting in jail.

  Ila pia sioni kama hoja ya kugamisha mwita ni issue kwani hakuna alieambiwa atafanya kazi sehemumoja tu...
   
 17. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mwenye orodha ya wagonjwa waliopata rufaa kwenda Appollo Hospital za India hebu aimwage jamvini. Kuna tetesi kuwa alikuwa anawamrisha madaktari wa hospitali za rufaa kuwaandikia ndugu zake na marafiki kuwa wapelekwe India hata kwa matatizo ambayo yanatibiwa hapa nnchini
   
 18. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #18
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Kama atasafishwa sio kwamba aliyoyafanya ni mema na yako sahihi kwa mustakabali wa nchi hii..pamoja na hayo kuna tetesi kwamba analipwa mshahara wa TZS 25m kwa mwezi..je, huu nao sio ufisadi kwake yeye binafsi na huyo aliyemuidhinishia hayo malipo?..Hizi double-standards za malipo kwa watumishi wa umma ni time bomb..
   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Feb 17, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Kweli huyu ni Mama NYOMI,na si mama nyoni.
   
 20. M

  Mama Ngina Member

  #20
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ndio Blandina mke wa Nyoni wa B.O.T.....mama pesa, baba pesa.

  Kazi ni kwako!!
   
Loading...