leoo mjini morogoro katika ukumbi wa Forest Hill secondary kulikuwa na kongamano la vijana wanachuo vyuo vikuu wakijadili mstakabali wa vijana katika miaka hamsini ya uhuru na muungano katika kuleta maendeleo ya nchi hii.Watoa maada walikuwa \mh. Peter Msigwa,Mh Susan kiwango na Anko...
wadau nchi kama tanzania ikiweza kutoa huduma ya gharama ya bilioni moja kwa matibabu ya bure basi inauwezo wa kutoa matibabu bure kwa wagonjwa hospitali za rufaa zote nchini kwa siku nane,hii ni baraka mponda step down tu,usione aibu.
kapinda kamechukia kanamawazo mabaya,hakawezi kutoa ushauri wa maana,kwa rais taifa harina hospitali yenye uwezo wa kutoa huduma kwa gharama ya bilioni moja kwa siku nane
Du nishati ya gesi haijatumika kumnufaisha mwananchi wa kawaida,uharibifu wa mazingira unaongezeka mwaka hadi mwaka,Tutakapo kataa fursa hii itakuwaje,kikubwa ni uandaaji wa mikataba mizuri.
poleni sana wanaharakati,nawakumbusha pia kufatilia athari za tukio zima lazima zifikishwe ve hauge kwa okampo,poland maana MP anafikiri roho zilizopotea atazifufua kwa kuleta madaktari wa jeshi la china.
alie toa tangazo la kutawanyika hajawahi,kuuguza,kufiwa,wala kuugua, na ndugu zake wanamiili ya chuma wakiugua wanachomelewa gereji bubu buguruni tuna mjua sana.bibi yake anauwezo wakuyeyuka kama barafu hugandishwa kwa mtambo wa babu loliondo just mia tano nauli bure.atishwi na mtu kudadadeki....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.