Search results

  1. Albina

    kutembea na mtu na kaka yake

    Kwani malengo maana yake nini hadi ufikirie sina malengo?
  2. Albina

    kutembea na mtu na kaka yake

    Mwaka 2006 nilitokea kumpenda kaka mmoja,na mdogo wake ndo alikua akinitongoza sana. Ila baada ya mda niliye mpenda alianza kunitongoza pia,kwakua nilikua sija mkubalia dogo (na nisinge mkubalia),nilimkubali jamaa. Dogo hakujisikia vizuri,you can imagine tulikua majirani tu. Kulikua na kuto...
  3. Albina

    Get well soon

    Karibu dear,wahudumu kwa wagonjwa hawatoshi siku zote. Yupo Regency hospital
  4. Albina

    Get well soon

    Kwa niaba yake asanteni sana nyote.Leo kaanza kunywa uji kidogooo.
  5. Albina

    Get well soon

    Get well soon Speaker. Una kazi kubwa ya kukamilisha na nina imani utapona haraka uimalize. Miss you sana.
  6. Albina

    (kuuliza si ujinga) Hivi, Ushawahi kujiuliza?...

    Dah,umewaza mbali sanaaa
  7. Albina

    Mwanamke mwolewaji huyu hapa!

    Aisee,naona.
  8. Albina

    Love life these days

    Nowadays a lot of couples are moving in together before marriage ..Its called come we stay ... Some people say that its the best way to know if you are compatible. That its like test driving a car. You will know if u can stay together as a married couple .....But others say most of these...
  9. Albina

    Khaaaaa!!!!!Jamani viacheni vibinti visome!!

    Yawezekana sio mdogo kama unavodhania. Ukiniona unaweza dhani niko under 18 vile,ni umbo la mtu tu. Mama yangu sasa yuko kwenye early 50's lakini watu hudhani yuko kwenye late 30's. Unless unamjua huyo binti,usi mjaji.
  10. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Ewaaa,asante sana kwa kukumbusha Paul.
  11. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Tume kumbushwa hapo juu kua hofu ya Mungu pia ni muhimu
  12. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Asante sana mgeni,tena hilo lilipaswa kuwa la kwanza kabisa.Hofu ya Mungu ndo chanzo cha mafanikio yote na uvumilivu katika ndoa.Asante kutukumbusha.
  13. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Sawa,lakini heshima haiji tu automatically siku zote.Ina tengenezewa mazingira. Unaweza dhani ni wajibu wako kuheshimiwa lakini mwenzako akajitahidi sana na mwisho akachoka.
  14. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Asante Amney,lakini sio katiba kwamba inaweza fanya kazi kwa kila mtu. twambie basi wewe unafanya nini kudumisha mahusiano yako?
  15. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Eti eh,asante sana.
  16. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Asante kama umepata kitu mpz,naona maelezo yamekuwa mengi na yamechosha watu kusoma.
  17. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Asanteee.Lakini changia pia maana hiyo sio dictionary ni mtazamo tu. Kila mtu akiukubali inaniwia vigumu kijifunza.Napenda kukosolewa kwa mtazamo huo hapo juu ili nijifunze zaidi.Yawezekana ni sahihi,lakini yaweza kuwa sio sahihi pia.
  18. Albina

    Tujenge vipi mahusiano yanayo dumu?

    Habari zenu wana JF. Niliwahi kumuuliza mama yangu swali kwamba "ume weza vipi kudumu katika mahusiano kwa mda mrefu hivi wakati ndoa zingine siku hizi naona zina vunjika baada ya mda mfupi tu". Alionesha kukaa kimya na hakunijibu,ila jumamosi moja aliniita tukaenda sehemu na alinipa ushauri...
  19. Albina

    Asanteni kwa mafunzo yenu.

    Hilo nalo neno ney,nita zingatia kuwa makini
  20. Albina

    Asanteni kwa mafunzo yenu.

    Hilo nalo neno ney,nitazingatia kuwa makini zaidi
Back
Top Bottom