Tuseme hesabu fizikia kemia hayo kwa mtazamo wa jumla wengi hawayawezi je hata somo la maarifa ya uislam pia Liwashinde! Wakisema mnawabeza na kuwaona si lolote si chochote
"WAISLAM KUTOKUWA NA IMANI NA NECTA NI SAHIHI KABISA"
Inavyoonekana wakereketwa wengi wa kikristo wanavamia mambo pasi na kutafakari
Waislamu siku zote wanaonekana kama ni wadini pale wanapofuatilia mammbo yao ya MSINGI
nakuombeni murejee matokeo ya kidato cha sita mwaka huu. Halafu mtajaji wenyewe kama hawa jamaa wa dufu ni vilaza au la.
Ili kupatia vizuri lengo la msemo huu (motto) tafsiri ya mtu yeyote ilenge upande chanya na sio hasi
ni kweli "EDUCATION IS A WAR" kwa maana ya kwamba kuna vikwazo vingi vinavyokwamisha maendeleo wakati wa kuisaka elimu hivyo mwanafunzi hana budi kutambua hivyo na kuchukua hatua.
Kwa hali ilivyo dada zetu wanaathirika sana kutokana na matumizi makali ukilinganisha na kaka zetu
walio wengi (kaka) hujifunga mkanda hadi jioni kuokoa maisha (rakaa moja kwa siku) lakini dadaz mh wachache. kiukweli sio udsm tu hata vyuo vingine ila sema havisikiki ila hali ni mbaya.
kufanyika kwa uchunguzi kupitia matokeo haya ya f4 ni jambo la msingi kwani inaonekana baadhi ya watu wanafahamika hawajiwezi lakin bado wamefanya vizuri lakin wengine mhh hapana uchunguzi ufanyike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.