Search results

  1. KONK MASTER

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Mm pia najiulizaga sana kwanini wasijenge bonge la chuo au kama ni hivo chuo likiwa mwanza bad iwe ni mwanza univeslrsity na sio tawi la udsm,,, ukipata jibu la swali lako nitag
  2. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Hamna usiongee usichokijua kahama inasupply wilaya gan ya kagera? Bora ungesema KATORO Ndo inasupply mizigo Kwa wilaya ya BIHARAMULO na sio kahama
  3. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Uchafu kabisa Bora mbeya igeuzwe dumple tu
  4. KONK MASTER

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Quality Control unasema mwanza ndogo hivi uko serious au any way ngoja nisiongee sana maana hujafika mwanza na kama ulishafika bas ni 2007
  5. KONK MASTER

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Nipo hapa nyegezi bus terminal mambo ni fire 🔥 karibuni katika ufunguzi huu
  6. KONK MASTER

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Mm ndugu yangu siku hizi nmeamua kukaa na kutulia TU kuangalia mambo ya hovyo nchini Kuna masoko dar ya mabilioni ila hayana watu na bado wanajengewa TU tena complex kubwa wakat huo majiji mengine hatuna, sisi hapa mwanza Kuna maeneo tunavuka Barabara roho mkononi yaan unasubil muwe group ndo...
  7. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Hii haiwez husisha dar na mwz maana ni majiji makubwa na Yako smart but Ina deal mi majiji madogo kama Arusha,dodoma tena Kwa mbeya wangeongeza bajeti mbeya Ina Hali mbaya sana,, sewage system, at magar ya taka hayapit kuchukua taka zinanuka,,mpangilio hovyo usipokuw makin unakosa pakutokea...
  8. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Utajiri wa Geita
  9. KONK MASTER

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Hii niliwahi kusema mwanza vikao vikubwa hufanyika lakin tunaona normal kabisa hat watu wa arusha vikao vinafanuika wanaona Norma tatizo lipo Kwa hili senge la NJOMBE linapost adi viazi vya kuchoma yaan Kila kitu linaona ni fantastic sjui Kwa kuwa vitu kama hivo kusini hamna na mambo yalichelewa...
  10. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Hao BRT mbwembwe kutupumbaza ila lengo lao ni dodoma TU
  11. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    IFM, now wanatoka rock city mall wanaenda kupanga bwiru pale chuo Cha mipango kilipokuwa kimepanga,,wanafanya hivo huku wakisubili ujenzi wa chuo Chao kukamilka
  12. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    BUGANDO nao wazid kuextend maana now wako na eneo na wameshashajenga godown Kwa ajili ya ujenzi wa chuo KIKUU mtaa wa IBANDA
  13. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    TIA wanajenga nyashishi na wapo site Kaz inaendelea
  14. KONK MASTER

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Ngoja wenye link waje
  15. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kod ni muhimu sema tunaonaga kama tunaonewa ila nchi yoyote inategemea Kodi,,Kuna nchi at ukimilki tv unalipia kodi vipi ikija hapa bongo sjui kelele zake
  16. KONK MASTER

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Ewe ni mdau kutoka mwanza?
  17. KONK MASTER

    Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

    Kuna moja linaitwa ChoiceVariable ni choko na Lina utoto,ulimbukeni na ujinga Zaid ya mtoa Uzi huu nazan Kuna haja ya kulitafuta ulifundishe kuwa liungwana,,liko na account kibao znatumika kuchonganusha linauwez wa kutmia GHARAMA kwenda mji fulan Ili likatafte kasoro na liaandika nyuzi yaan ni...
  18. KONK MASTER

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Usisahsu kumwambia toad ya bwanga to biharamulo ilivo konki huwa natafta picha yake kamili ila Sina but napenda ilivopita mlimani na milima ikachongwa Kwa ustadi mkubwa
  19. KONK MASTER

    Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Bro Kwan ukimpuuzia hyo choko unapungukiwa Nini
  20. KONK MASTER

    Mrejesho, Mwanza is overrated, ni kama shamba la Bibi

    Hilo ni choko Sasa Kanda ya ziwa tushalipuuza,, limebaki na chuki za laana ya ukoo ndo zinaluwasha
Back
Top Bottom