Search results

  1. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Hivi walio2ma application letter wizarani afya/kilimo na mifugo majibu ya kujoin na collage yanatoka lini au yameshatoka....?
  2. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Hivi application za nursing na kilimo na mifungo majibu yake hutolewa baada ya muda gani..?
  3. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Naomba mnisaidie anuani za MINISTRY OF AGRICULTURE AND LIVESTOCK
  4. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Result slip zinatoka lini..?
  5. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Please brother naomba uniorodheshee viambatanisho vya barua ya maombi ya kujiunga na chuo chochote..
  6. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Brother naomba unisaidie anuani za "WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TANZANIA"
  7. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Jamaa anasema nia yake toka akiwa form one ni kujiunga na vyuo vya elim mbalimbali..
  8. E

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Brother mie kuna jembe langu lina PCB but imesimama ki_hivi DDC vip kuhusu huyu ana four ya 27 na result lake ni_civ D, chem D, geo D, eng F , kisw D, math F,phy D, hist D and bios C..,nifahamishe kuhusu hapo..
  9. E

    Mnahitaji kujua MATOKEO CSEE 2011?

    Kwanza tupate 7bu kwanini hawayatoi...? Ndio tuandamane au co wadau.
  10. E

    Madogo wa mwaka huu mnatisha kwa kufeli

    Yakupasa uweke link ilitupate uhakika....who are u. necta hawajasema we ndo umekuwa msemaji mkuu....acha kututisha bwana kama ni kinyume sema bwana 2congezeane presha coz kufeli c kitu chema mjomba.
  11. E

    Mnahitaji kujua MATOKEO CSEE 2011?

    Jamani muwe na huruma bac cku zote hizo hadi imekuwa tofauti na kawaida...hivi ni nani anapenda maisha ya kitaa tumechoka bwana au ndo MGAO KAMA TANESCO au NDO NYIE MNATAKA KUONGEZEWA MSHAHALA KAMA NI HIVYO MUWEKE WAZI COZ NCHI YETU NDIVYO ILIVYO...
  12. E

    Total shutdown MOI hakuna huduma

    Mie nadhan serikali yetu kama wangekuwa na akili timam pesa za nyongeza ya mishahara kama wangekuwa wanasupport sekta ambazo zimepanda kiuchumi ilikupunguza kukua kwa gharama za bidhaa ili kuwapa hakisawa watanzania wote sio viongozi tu......
Back
Top Bottom