Search results

  1. nanchi

    Mheshiwa Rais Dkt. Magufuli, Ukatibu Mkuu wa CCM mpe Abdallah Bulembo

    Ukatibu mkuu mtu mwenyewe darasa la saba amuongoze nani huyo.
  2. nanchi

    Prof. Lipumba amewaimarisha CUF, amewatangaza UKAWA

    Ameimarisha cuf ipi toka awe mwenyekit hakuwah kuzid wabunge watatu???
  3. nanchi

    Chenge anaongoza kwa kuchukiwa na Watanzania wengi nchi nzima

    Hauwez kunilazimisha kusema kile kitakacho kuridhisha wewe,hizo ndizo hisia zangu
  4. nanchi

    Chenge anaongoza kwa kuchukiwa na Watanzania wengi nchi nzima

    Mi mwenyewe namchukia kupindukia
  5. nanchi

    Nani anafaa kuwa rais wa Tanzania 2015?

    Dr.slaa
  6. nanchi

    Ole Sendeka adaiwa na mfanyakazi wake Sh. 27,600,000

    Anajifanya kuubir haki kumbe tapeli mkubwa
  7. nanchi

    Mrema apewa siku 8 kujieleza kwa msajili wa vyama vya siasa

    Mrema ni popo tena wakifutie usajili kabisa
  8. nanchi

    UKAWA mbona mnatuchanganya? Hii nini maana yake kuhusu Lipumba na UKAWA?

    Rai ndo gazet gan?nimekumbuka kumbe la salva mtoa habar wa ikulu!!!!!mnaangaika maccm
  9. nanchi

    Urais 2015: UKAWA waanza safari

    Dr Slaa rais,lipumba wazir wa fedha na uchumi,mbatia wazir wa elimu,mbowe wazir mkuu,si mchezo umekwisha?hawa wote wanashinda kwenye majimbo yao
  10. nanchi

    Body ya mkopo elimu ya juu yatutesa wanachuo "teku mbeya".

    Ni miezi minne sasa hatuna chakula,hatuna malazi,ni baada ya wenye nyumba kuchukua vyumba vyao kwa kukosa kodi zao.hatuna ada hivyo uhakika wa kuendelea na chuo ni mdogo sana na hivi tupo mwaka wa tatu.inasikitisha kuona tunasoma miaka miwili tukitambulika kama wanufaika wa body ya mkopo,ila...
  11. nanchi

    Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye!

    Shibuda ni mnyiramba aliye lowea zanzibar.msukuma gani mwenye tabia za kike?Hili lizee boya kishenz.
  12. nanchi

    Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

    Mm napata wakati mgumu kidogo kuelewa,imekua ni muendelezo wa matukio mbali mbali ya kikatili yakifanyika na idara ya usalama ikiusishwa. Hivi karibun gazeti la mwanahalisi limetoa habari ya kuwashutumu idara hii kuhusika na kipigo cha kikatili kwa mwenye kiti jumuia ya madaktari tanzania dr...
  13. nanchi

    Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

    hapo umenena,ccm kwishne.
  14. nanchi

    David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

    Lowasa nae ni kijana?ok sio mbaya rais kua kijana ila sio lazima aanzie kigoma kwani inchi hii ina kona nyingi za kumtolea rais wa inchi.
  15. nanchi

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Kawaulize ccm kati ya lowasa na membe nani mwenye pesa nyingi ili agombee urais.
  16. nanchi

    Hatimaye nimeweza,ila kuna jipya...

    We dada kama nimkubwa kama unavyodai hebu tumia ukubwa wako hapo.usikurupuke wala usiharakie maisha,huyo jamaa yako atawachinja.tuliza jazba muda ukifika kaeni chin na baba mtoto myajenge upya.
  17. nanchi

    Naogopa majibu yasio ridhisha...

    sasa hapo unanichanganya luku,mm ni kijana tayar namzid kidogo umri yeye anakama 27 kama sio 26.vle vle simuogopi ila nimempenda kweli had hofu ikaniingia,akijichanganya amekwisha kwani sina historia ya pelekwa pelekwa na mamanzi hawa,nauzoefu nao kimtindo.hebu niwekee mistari hapa ya kuanzia...
  18. nanchi

    Naogopa majibu yasio ridhisha...

    sasa madamex kama anapenda ndo inakuaje,na kama hapendi vle vle tunaiwekaje hapo?
  19. nanchi

    Naogopa majibu yasio ridhisha...

    yani kama atanielewa naoa kabisa bila kuja nitakacho kutana nacho ndani ya gem.hiyo itakua siri yangu.
  20. nanchi

    Naogopa majibu yasio ridhisha...

    nimeupenda ushauri wako,kweli ni dem dicplin ndo maana sitaki kukurupuka,yani sitaki kumkosa.
Back
Top Bottom