Search results

  1. Chakula Kibaya

    Naomba kupewa elimu juu ya Mbao za kuezekea Nyumba

    Habari ya usiku ndugu wanajamvi, natumai sote tuko salama na tunaendelea vizuri ujenzi wa taifa. Niende kwenye mada Moja kwa moja. Mimi ni mjasiriamali ambaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu nimebahatika kujenga kaboma na Sasa nimefikia hatua ya kupaua. Kuna mambo mawili naomba kufahamishwa kutoka...
  2. Chakula Kibaya

    Mgeni nimefika, naomba mnipokee

    Baada ya msomaji mgeni tangu 2014 kwa kuburudika na nyuzi za kula tunda kimasihara,mazingira hatarishi kufanya mapenzi na kadhalika. Hatimaye Leo nimeamua kuwa member niliye hai kabisa naomba mnipokee. Ndimi CHAKULA KIBAYA.
Back
Top Bottom