Search results

  1. M

    Mh. Mdee , zimwi litujualo halituli..........

    Vipi wantanzania tuliodandanywa maisga bora kwa kila mtu?
  2. M

    Zitto karibu NCCR

    Siku moja kuna mdau hapa jamvini aliwahi kusema kwamba, maumivu ya mgogo uzeeni ni matumizi mabaya ya makalio wakati wa ujanani, inawezekana hata mleta hii mada ana matatizo ya maumivu ya mgongo!
  3. M

    CHADEMA ndio wamesababisha mgomo wa madaktari

    Hii ni siri yako! Hata yale mafuriko yaliyotokea jijini Dar es Salaam na kusababisha ndugu zetu kuhamia kwenye majumba ya nguvu kule Mabwepande, ni jamaa hawahawa wakiongozwa na makamanda wao. Hawa jamaa ni nuksi! Kweli CDM ni hatari hata wanaweza sababisha mafuriko! Upofu huo!
  4. M

    Lowassa Azidi kusonga mbele!

    Roho Ngumu gani zaidi maslahi binafsi?
  5. M

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    I think one of the possible ways of retaining our respect is to try change the entire system i.e. over- whole the current leaders and try to plug new bloods!
Back
Top Bottom