Search results

  1. R

    Biashara ya Fei Toto na Azam ilikuwa kete ngumu kwa Yanga

    Kipo sawa kabisa Hilo jamaa ni li teacher la tuishieenii ya kidhunguu.
  2. R

    Kama Mgunda anaokoteza wachezaji na anapata matokeo angekuwa na akina Babacar, Chama, Kibu, Saido ingekuwaje?

    Sasa mara wachezaji wa kuokoteza ila wana perform mara wakiingia hao wa kuokoteza kwenye mechi ya Azam itakua mauaji ya shorobera Kwa Simba tukuelewe vipi mbumbumbuzzzz.
  3. R

    Nguvu Moja imerudi Simba ndio maana ushindi unapatikana

    Kwa ushindi gani wa kukataa magoli halali na kutoa hongo kwa marefa uchwara wa ligi hii. Kwan huyo kajuna ana kipi hasa? acha akili za kishirikina wewe..
  4. R

    Wekeni kumbukumbu sawa bingwa ngao ya jamii ndio huwa bingwa wa ligi kuu bara

    Wajuba mmeshafukua na huu nadhani bingwa wa ngao ya jamii ndio anaongoza ligi Kwa point sitini na tisa au nimekosea..
  5. R

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Huyu nin mchezaji kutoka nchi gani?na anacheza namba gani?
  6. R

    FT: Mashujaa 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium 05.05.2024

    Ambae anafunga magoli ya akili mno kuliko yule Papaa Omary wa Njombe..
  7. R

    Tetesi: Ibenge kutua Simba kuchukua nafasi ya Benchika

    Yule ni kama shati chakavu linakumbukwa kwenye shughuri za shurba tu mkuu..
  8. R

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Alipoingia madarkani alijinadi kwamba yeye hawezi kua mtu wa kudhurumu haki za watu na hataki vitendo vya ki ukwaji wa sheria sasa hichi unachomshauri ni haki? Nchi hii watu hawana ruhusa ya kusema wanachokifiria lakini pasipo kuvunja sheria. Huyu mnae mtukuza huku mtaani hakuna anae muelewa huu...
  9. R

    Suala ya kufungiwa kwa Yanga, siku hizi FIFA wamekuwa wanasiasa?

    Kolozuu,kolozwaaa,koloziii waga ndivyo yanavyokoroma yakiwa yamelala yakiota ndoto za kutisha mambumbumbu ndoto za misimu mitatu makocha saba mafanikio kombe la kibegi, channel ya Whatsapp na kombe la muungano.
  10. R

    Benchika kwenda kumuuguza mkewe, swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake?

    Mbumbumbu hawezi kua na utambuzi ni kama kondoo tu na yenyewe yameamini..
  11. R

    Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

    Ben kaachika tulimwambia mambumbumbu sio watu akabisha pale hakuna timu ni kusanyiko la wahuni sasa Kiko wapi?
  12. R

    Kwani nyie viongozi wa Simba Juma Mgunda ana shida gani hadi mnaokota okota makocha?

    Uwezo unao wewe nenda pale ofisi zao msimbazi izia wakiwa wanatoka tandika bakora za kushtukiza kisha toka mbio kama mshale..
  13. R

    Hili la bwana mdogo chasambi likawe funzo kwa wachezaji chipukizi wa ndani wanaotaka kucheza simba na yanga

    Mtoa mada avatar yake tu inaweza kuzuia misonyo,masononeko,jaziba na hata makasiriko ya kila namna hivyo mbumbumbu nafikiri hapa mmegonga mwamba..
  14. R

    Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

    Maisha ni safari ndefu toka kua bingwa wa shirikisho Afrika mpaka kua kocha wa mabingwa wa Muungano.. Tena ubingwa wenyewe unapewa na goli la babaka asali..
  15. R

    Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

    Jamaa alikua anarusha mateke inakutana na mikono uku kichwa chenye upara kikitoa jasho kama kimepakwa mafuta ya nazi unafanya mchezo na mibumbumbu.
  16. R

    Simba SC yaachana na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha

    Hawezi kukaa na mimbumbumbu ambayo inampa mkataba Babu saidoo wa ki chief mangungo wa msovero..
  17. R

    Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

    Kiungo ànayewaniwa kutoka singida black stars ni nan huyo?
  18. R

    FT: Yanga 1 - 0 Coastal Union | NBC Premier League | Azam Complex | 27. 04. 2024

    Kama kuna mbumbumbu atajihusisha na hii post nambie mkuu.. Hapa umegonga mbumbumbu kichogoni sasa ndio umewazidishia umbumbuwazi..
Back
Top Bottom