Search results

  1. M

    Mnyika, Zitto, Januari, Kafulila, Nape kuanzisha Jukwaa la viongozi vijana?

    Hongereni sana cdm kwa kujikomba sana kwa ccm. Slaa asalimiana na kikweta, lema wafanya sherehe na mkuu wa mkoa, shibuda ahudhuria kuapishwa jk, mbowe atumia busara kukubaliana na ccm kuhusu wakuu wa wilaya, leo hii mnyika zito mnatafuta nini kwa nape. Safi sana mrema alianza kidogokidogo...
  2. M

    Kikwete aagiza misafara yake ya kwenda nje kupunguzwa

    watanzania ni watu wa ajabu sana rais kasikia kilio chenu mnataka nini nyie. meomba katiba mchakato unaendelea, mmeomba kukutana naye amewakubalia, jamani ee e e e e e e ee e e e
  3. M

    Siasa za CCM na muungano wa Zanzibar

    lengo la mwalimu lilikuwa kuiunganisha afrika iwe moja na akaanza na kuunga zanzibar baadaye kenya na uganda. kura ya maoni haikuitishwa. bahati mbaya kenya na uganda wakakataa. sasa sababu ya kuwa nchi mbili badala ya tatu au moja ni uwiano tofauti kati ya zanzibar na tanganyika
  4. M

    Uhusiano wa JK na Lowassa ulivyo hivi sasa!

    acheni mambo ya kufanya zamu na wazanzibar nyinyi zamu yanu lini kutawala zanzibar siipendi mijitu ya tanganyika isijitambua.
  5. M

    Wakuu ni kweli haya yametokea Pemba au mimi naota ? Imekuwaje yametokea ?

    eeeeeeee mambo ya wapemba waachie wapemba na nchi yao ya kufikirika sisi tuzungumzie mambo yetu na rais yetu mpendwa jk
  6. M

    Mishahara ya upendeleo kwa baadhi ya sector

    hii ndo tanganyika bwana kila kitu ni upendeleo, we hushangai wapemba kupendelewa hadi kukalia ikulu ya magogoni. au wabunge wa zenzi kulipwa na watanganyika huku ikishindwa kulipa vizuri ma dr wa tanganyika we vipi?
  7. M

    Sitaki urais, ni mzigo - Pinda

    Hata nyerere alisema urais ni mzigo mkubwa lakini alikaa zaidi ya miaka 25. Pia alitumia dola kutosa maalim haki yake wanasiasa bwana
  8. M

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Tunaitaka tanganyika yetu, mambo ya kuwapa ardhi wapemba sasa basi, mambo ya ikulu yetu kukaliwa na wapemba sisi kwao hawaturuhusu sasa basi, lengo la mwalimu la kuiunganisha afrika kwa kuanza na zenzi limeshindikana sasa turudishieni tanganyika. Sera yenu ya serikali tatu siiitaki kabisa leteni...
  9. M

    Nyoni, Mtasiwa, Mponda, Nkya Must go!

    hapo ndo wabongo mnanipagaaaaaa utata, mnahitaji mshahara mkubwa au mnahitaji vyeo vya nyoni mtasiwa au nkya, simamieni point. wakifukuzwa hao nyie mtanufaika na nini dai posho yenu nyinyi. au mmesahau bunge lilishangiliwa kwa kutaka jailo afukuzwe lakini leo hii hayupo mmenufaika na nini...
  10. M

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    asante sana tena sana kwa elimu yako je unakitabu cha ufugaji wa kuku maana naona sasa yote yawezekana
Back
Top Bottom