Search results

  1. P

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Baba yako tunamfahamu mama yako pia na kwa ufupi familia yako, hivyo historia yako tunaijua zaidi ya uijuavyo wewe.Thread uliyoipost ni ya uongo na tunajua kwamba wewe (mtela Allam Mwampamba) na baba yako (Allam mwampamba) wote ni waongo kwa ufupi wewe na baba yako wote mna laana ya uongo na...
  2. P

    Masikini CHADEMA- Kwishnei

    Ni wazi kwamba maisha magumu yanayotokana na mfumko wa bei yamesababishwa na Serikali ya CCM, bidhaa zinapanda bei kipato ni kilekile kwa watanzania, mishahara imesimama, shilingi inashuka thamani, wanafunzi vyuo vikuu wanakosa mikopo na wengine wanaahirisha miaka.mama zetu wanajifungua katika...
  3. P

    Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt

    kwani mtu akipata ubunge anaenda na mke wake bungeni? halafu kumfananisha mtu na sokwe simbaya ilimradi kama kweli wanafanana.Halafu zingatieni ujumbe alioutoa Mdee badala ya kuchukua neno mojamoja.
  4. P

    Ccm wapoteana kiwira kwenye uchaguzi wa diwani

    Ccm waona aibu baada ya kukosa watu kwenye mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea wa nafasi ya udiwani.mkutano huo ulifanyika kijiji cha ibula kata ya kiwira.wakati huo chadema jana tarehe 23 march walijaza watu kwenye mkutano wao wa hadhara wa kumnadi mgombea wake laurent abeli mwakalibule...
  5. P

    CCM kutotumia helikopta Arumeru mashariki

    Ccm wasitumie helcopter au watumie,watumie vx au watembee kwa miguu, wawe na madiwani wengi au wenyeviti wenyeviti wa vijiji wengi haijalishi.biashara ya kupata ubunge arumeru mashariki imewakata, 2015 chadema inachukua nchi.magamba wajiandae kuwekwa ndani.
  6. P

    Highness:"CCM ilienda na Nyerere, iliyobaki ni Danguro tu"

    Imekaa vizuri,wamechoka hao ccm.waipishe cdm
  7. P

    Mbowe na Slaa kutikisa Zanzibar kesho

    Mwenyezi Mungu awatangulie watetezi wa watanzania na hiyo ndiyo ibada kuu.for the first time zanzibar itapata ukombozi wa kweli, na huo ndo utakuwa mwanzo wa maandalizi ya kuchukua nchi 2015.
Back
Top Bottom