Search results

  1. S

    Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

    ni mambo mengi yamejificha nyuma ya pazia "CHADEMA wanaona mbali, wametumia njia simple kuhakikisha wanalivunja jeshi linalompa kiburi MWIGULU NCHEMBA The Green Guard, jeshi ambalo ukilichunguza kwa makini ni Jeshi linalotambulika na serikali, MGAMBO mmegeuzwa The Green Guard. huku vijijini...
  2. S

    Siri yafichuka: Picha ya Mwigulu Nchemba na mgombea udiwani wa CHADEMA Elerai

    yupo full ngwamba utdhani askari wa vita kumbe mbwembwe tu. ipo siku ataumbuka tu.
  3. S

    LUKUVI na wengineo, Huu ndio ukweli jinsi Bomu lilivyorushwa. Mengine ni PROPAGANDA!

    Uelewa mdogo wa kundi kubwa la wananchi ndio mtaji wake kisiasa, ndio maana anawaghilibu watu, namjua ni kati ya maripita wa miaka ile. NI MZANDIKI, MLAGHAI SANA. hana uvumilivu wa kisiasa hasa anapoelemewa. damu za watu wasio na hatia zitamgharim.
  4. S

    LUKUVI na wengineo, Huu ndio ukweli jinsi Bomu lilivyorushwa. Mengine ni PROPAGANDA!

    mwigulu ni mbunge wa jimbo langu, lakini ukweli kutoka moyonio mwangu nakiri kuwa SINA MBUNGE WA KUTANZUA SHIDA ZA WANANCHI, ILA NI MFITINI "HANA UTU" SIYE MTU HUYO.
  5. S

    Dalaly Kafumu amekalia kuti kavu Igunga

    mh Mwigulu ujue wanairamba walikuchagua uwatumikie na si kulewa madaraka uliyopewa naccm, majibu ya uovu unayofanya ndio hayo,wanairamba tunashukuru jinsi unavyojipalia makaa. next time hautupati tena, umetuzalilisha
  6. S

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    VIVA FOREVER DR ULIMBOKA GOD WITH YOU. Aibu kwao
  7. S

    serikali ya Mh Kikwete na visasi vya wazi wazi kana kwamba hana washauri.

    Wan JF nimezidi kuingiwa na hofu kubwa juu ya visasi vya wazi wazi vinavyolipwa na viongozi wakuu wa nchi yetu zidi ya wananchi/wafanyakazi wake wanapodai haki. Kitendo cha mh kuwakaanga walimu kwenye zoezi zima la kuandikisha sensa kisa waligoma, ni baya sana, na tafasiri yake ni...
  8. S

    Usaliti wa Wabunge wa CCM kwa wananchi...

    wapi MWIGULU nchemba Madelu sahihi yako mkuu, inanamaana jukumu letu tulilokutuma hutaki kulitekeleza matokeo yake umeanza kufanya unayoona unamasilahi kwako na si yenye masilahi kwetu, tunakusubiri tutakuuliza kwanini hauwajibiki kwa ajili yetu? nawapongeza waheshimiwa wabunge wote...
  9. S

    Wabunge wanaoamini MAGEUZI kufanya mkutano na waandishi saa tisa alasiri leo hii!

    mh. kikwete alitakiwa kuvunja baraza la mawaziri toka kipindi cha mgomo wa madakitari, akaifanya shingo yake ngumu, na sasa bado anajariribu kupuuzia kwa kudai ni upepo tu utavuma na kutulia. hii hali ya kuwalinda watu wake inazidi kumwangamiza pasipo yeye kujijua, akiamini ananususuru. rai...
  10. S

    Tanzania's CAG Report; March 2012

    mkuu endelea kutujuza. tupo pamoja sana. majamaa yanakwiba sio mchezo.
  11. S

    Dr. Bana: CCM bado ni chama imara, kinasikiliza watu!

    kaka mkumbwa, aliyezaliwa na mwanamke, maisha yake yakuwa ya shida mpaka siku ya kufa naomba nikusalim
  12. S

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    kila kitu kina "ukomo" na huu ndio okumo wao maana kila kitu watakuwa wanajichanganya wenyewe wakidhani wanaokoa, na huyu bibie anatakiwa aburuzwe mahakani, na kama ni janja ili kuwapoza watu/madakitari waelewe watz sio wakudanganywa.
  13. S

    Uraisi CCM 2015 balaa

    ndani ya magamba "ATAKAYE KULA NYAMA NI MWENYE KISU KIKALI" kuhusu kuwavua gamba hawa jamaa, magamba hawawezi kuthubutu, tangu wamekutana na mtanange ndani ya maskani ya RA igunga, Gharama waliyoitumia kulikomboa jimbo hilo ni kubwa sana, hivyo wakiyavua magamba mengine watafulia kwa kuwa plan...
  14. S

    Prof. Tibaijuka amjibu Jussa; adai Jussa amepotosha Wazanzibari

    JUSA ANAMEUPOTOSHA UMMA:- kama kweli anajua kuwa nchi yetu ni muungano baina ya tanganyika na zanzibar, lazima akubaliane na mungano huo. najiuliza kwa nini anafikiria kuwa ni kwa maslahi ya watanganyika na si muungano kama ilivyo ahinishwa? kwa nini hapendi nchi yetu iongezewe eneo ambalo...
  15. S

    Undani wa Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa

    Ni kweli mkuu hawa jamaa wawili wanahitaji uangalizi wa hali ya juu tena si kwa nguvu za kibinadamu bali kwa uwezo wa mwenyeenzi mungu ili waweze kutufikisha NCHI YA KUSADIKIKA. tupo nyuma yao mungu awabariki. pili nasi kundi la vijana tuache ushabiki, tuwe watekelezaji. tuamioni kuwa sasa ni...
  16. S

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    huwezi kuunga mkono kwa kuwa nawe waweza kuwa ni moja ya tatizo, viongozi ni vyanzo vya haya yote kwani their are so selfish
Back
Top Bottom