Search results

  1. shaw

    Watumishi, hakikisheni mnahakiki madeni yenu kwenye mabank mliyokopa kabla ya Ku-TOP UP Mikopo yenu. Mabenki yanawaibia

    Mkuu Statent ya tigo pesa Niliiomba na mpaka leo ninayo haineshi kama kuna miamala ya kiasi hicho cha pesa ila miamala mingine yote ya kutoka Tigo pesa kwenda bank au kutoka bank kuingia Tigo Pesa ipo .Kifupi ni kwamba Nilishajiridhisha kama kuna namna yoyote nlwahi kuchukua pesa ama bank ama...
  2. shaw

    Watumishi, hakikisheni mnahakiki madeni yenu kwenye mabank mliyokopa kabla ya Ku-TOP UP Mikopo yenu. Mabenki yanawaibia

    Mfano Mimi nilikuta Nimewekewa mkopo ambao sijawah uchukua nilipojaribu kufanya unachoshauri wakanambia nilichukua overdraft kupitia sim bank nikaenda mara ya pili wakanambia nliweka pesa kupitia simu(Tigo) miezi saba iliyopita bahati mbaya lile salio halikukatwa na tigo so walipofanya...
  3. shaw

    Uchaguzi 2020 Ijue mikoa ya ushindi kwa CCM

    Hata hao wasomi mnaosema chadema bado hawaifikkiii ccm kwa idadi
  4. shaw

    Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

    Hakuna Ruhusa hyo ya kutoka Mombasa au mahal tofaut na Nairobi unajua maana ya route?
  5. shaw

    Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    TBC ndio channel inayoongoza kwa kuangaliwa na na watu wa rika zote kwa local channel
  6. shaw

    Huyu mtangazaji wa redio Free Afrika yupo wapi kwa sasa?

    Yupo TBC anatangaza akitokea Kagera
  7. shaw

    TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Yes ila hill LA kumpiga Masele sikuwah kuliskia pia hakuwah pewa suspension ,kuhusu kumaliza syllabus in kawaida ya Waboizia,,Hao uliowataja aliomaliza nao ni Harod Makambi Nila na Opiyo Tu wengine walikua Nyuma,Bila Shaka utakua ulikua JIRAN pale
  8. shaw

    TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Hakua n dalili alikua anaishi msikitini pale shule alikua mcheshi sn
  9. shaw

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Mhh pilau almaarufu Kipuche 'hii huduma c ilikua inapatikana pale DH kuanzia saa sita usiku ?Au ulikua unafata na mambo mengine N'gambo
  10. shaw

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Mmoja alikua na Saluni meneo ya Madafu makutano ya njia ya kwenda Cheyo National na Kuteremka get la Boys
  11. shaw

    Tukumbushane watu wa Tabora-Mboka Manyema

    Bundala na Kanyaboya walikuwepo Boyzia had 2005 kama ulipita T boys naamini story za Tukutuku utakua nazo nyingi sana
Back
Top Bottom