Search results

  1. S

    Naomba hifadhi wanajamvi

    Kwa heshima kubwa kabisa amani iwe nanyi wote. Nimekuwa mwanafunzi wa jf kwa muda mrefu sasa. Nimejifunza mengi hapa jamvini nikaona mmenikomaza vya kutosha, mmeongeza uelewa wangu kwa kiasi kikubwa (hata kama sio 100%) na nimejiona sasa napaswa kuwa Great Thinker. Naomba hifadhi yenu wanajamvi..
Back
Top Bottom