Search results

  1. Ikoko

    Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

    Miaka ya nyuma baada ya kumaliza JKT tukiwa tunasubiri kwenda chuoni jamaa yangu tuliyekuwa naye JKT Mafinga akaja na wazo twende kufanya kazi ya ulinzi ili tujikwamue.. Tukaenda bwanaaa na kuonyesha vyeti vyetu vya JKT na bahati nzuri tukapata. Tukapangiwa lindo kila mtu kwake. Ile tuu siku ya...
  2. Ikoko

    Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

    Kuna jirani yangu mmoja baada ya kustaafu serikalini alinunua NOA na bodaboda mbili... Ikawa unamuona kwenye Noa yake na wakati mwingine na bodaboda yake... Baada ya kuwa mikoani kwenye mihangaiko yangu kwa muda mrefu, majuzi nimemkuta jirani yangu anaendesha baiskeli. Mwanzoni nikadhani ni...
  3. Ikoko

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Kwani ni lazima usome kila post? Watu wanajadili masimulizi ya CDF, ambayo ni haki ya watanzania kujua, wewe inakuuma nini? Ungeenda basi umkemee CDF, yaani watu waliokuwa naye mpaka mauti yanamfika hawaja mind ila wewe ambaye, hata mkono tuu pengine hujawahi kushikana naye una mind...
  4. Ikoko

    Saa za mwisho za mpendwa Magufuli zilijaa maumivu na majuto mengi

    Ulikuwepo akikata roho ili kuhitimisha kwamba ni kifo cha kawaida? Kifo cha kawaida kikoje? Mfano babu yangu, ambaye nilikuwa nalala naye miaka hiyo, siku yake ya mwisho aliongea na kila mtu na wengine alisema waitwe, tena kutoka mbali na wakaja wakashinda naye. Usiku akasema hajisikii vizuri...
  5. Ikoko

    Wazazi na walezi Dodoma wameshirikishwa katika hili la watoto kulishwa chakula cha msaada kutoka USA?

    Shule zetu, hasa za St Kayumba je huwa wanakula mashuleni? Tuanzie hapo kwanza... Pili umechimbua vizuri na kujua chanzo cha hiyo programu ya chakula shuleni? Soma hapo chini..
  6. Ikoko

    Nyanya imekuwa bidhaa adimu Tanzania sababu ni waarabu kununua mashambani na kusafirisha nje

    Hata kama unakaa ghorofani unaweza kulima nyanya zako kwenye makopo au viroba
  7. Ikoko

    Nyanya imekuwa bidhaa adimu Tanzania sababu ni waarabu kununua mashambani na kusafirisha nje

    Hii ndiyo sababu ya kitaalamu, hayo mengine ni porojo tuu
  8. Ikoko

    Kuhusu msaada wa mchele, ni wazi kuwa tuliuomba huo msaada

    Mnashangaa wakati tayari zaidi ya tani 3800 za mchele, maharage na mafuta zilishaletwa na watoto wetu wakala?
  9. Ikoko

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Hebu muwe mnasoma na kufuatilia taarifa jamani...
  10. Ikoko

    Watoto 300+ Dodoma kulishwa wali wenye virutubisho kutoka USAID

    Sijakataa baadhi ya hoja zako, uko sahihi. Sasa tukijitafakari kwa kina unaweza kuwashangaa hata viongozi wetu na hata baadhi yetu. Ukifuatilia hili jambo kwa mfano siyo la leo na wala hao Wamarekani hawajakurupuka kuleta hiyo misaada. Wameshaleta zaidi ya tani 3800 huko nyuma eti leo ndio watu...
  11. Ikoko

    Msaada wa muda wa kufuturu na kula daku kanda ya Shinyaga

    Huku Mpanda ukisubiri jua kuzama utashangaa saa 1.30 usiku
  12. Ikoko

    Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Kama mimi tuu, yaani nitumie 10 milioni ziliwe kwenye kubeti, nitaumia kwa kipindi kirefu sana...
  13. Ikoko

    Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Kitu ninachowaambiaga wacheza kamari za kisasa kama hii betting ni kwamba kama uliwahi kuijua probability kwenye statistics basi yatosha kuelewa kwamba msingi wake mkubwa ni kwamba mkicheza watu 1000 lazima watu 900 mpaka 950 mliwe ili fedha yenu walau itumike asilimia 20 - 30 kuwalipa hao watu...
  14. Ikoko

    Ups and down miaka 8 ya kubet (addiction) bila ya mafanikio

    Vipi tathmini yako betting imekutoa kimaisha au ndio majuto kama mleta uzi? Huko kitaa vijana huwaambii kitu kuhusu kubeti..
  15. Ikoko

    Historia ya Qur'an

    Mkuu asante sana, na tunaomba muendelezo...
  16. Ikoko

    Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

    Faida nyingine ya vyoo vya kukaa ni kwamba vina mifuniko. Chooni huwa kuna vijidudu/bacteria wengi sana na kama mtu angeweza kuona kwa kutumia microscope [emoji436] vijidudu wakati wa kura flash kinyesi angekimbia. Hivyo inashauriwa kwamba ukimaliza kushusha mzigo na kujisafisha, funika mfuniko...
Back
Top Bottom