Salaam wakuu. Nimeona vema kumpongeza Mheshimiwa Makonda kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuwatetea wanyonge.
Hakika si kazi ndogo. Tunapoona watu wamejaa kwenye mikutano yake hii inamaanisha wanaimani naye. Na hakika anaweza kutokana na uthubutu alionao.
Mkuu hata kama tumekutafsiri vibaya...
Naanza kuona tatizo. Mbowe amekisaidia sana Chadema hadi hapo ilipofika. Lakini kinachoendelea hapo Chadema kwa sasa kinasikitisha sana.
1. Kwamba ktk CDM nzima asiye hongeka ni Mbowe pekee na wengine wote wanahongeka. Lissu, Sugu, Mnyika wanahongeka. Je, mlijaribu kuwahonga na wanahongeka? au...
Umma wa Musa ulimwambia Musa na allah kwamba huku tulipokuja kuna watu (palestinians). Allah akasema wapigeni na mkaichukue nchi yao. Allah alipoona wanasita akawapa adhabu ya kuzunguka Kwa miaka 40. Mwisho wakakubali kuwachapa wenyeji na kuichukua nchi. Quran 5:20-26.
Hapo hapo tena allah...
Aiseee! kweli nchi za kiislam na waarabu waoga sana. Kumbe Israeli inawanajeshi 15,000 lakini wameshindwa kuwavamia na kuwamaliza. Hadi raisi wa Uturuki anasema waislamu waungane dhidi ya wanajeshi hao wachache.
Nyie watu nyie! Kwa ujasiri kabisa unasema ataishia 2030. 1. Uzima na uhai wa mtu umo mikononi mwa Mungu. 2. Nani kakwambia Samia atagombea 2025? (kwa kuwa anamalizia miaka iliyoachwa na magu). 3. Kama atatia nia ccm 2025 una uhakika atapenya mbele ya WATANGANYIKA akina Ndugai? Au ataikanyaga...
Unaakili nyingi sana mkuu. Hongera. Ingawa kwa kutumia akili umepotoshwa kwa habari ya uwepo wa Mungu kwa kuwa mambo ya Mungu yanahitaji akili na imani zaidi. Ni ombi langu kwa Mungu kwamba siku moja ajifunue kwako kama alivyojifunua kwa Sauli/Paulo. Barikiwa sana.
Naamini kabisa. Hata siku ile watumishi walipokuwa wanaomba jangwani (kama sikosei) kwamba kila atakayeharibu uchaguzi na kuiba kura akutane na mkono wa Mungu, Magufuli alikuwa anaona kama wanacheza tu. Huyo naye ajiangalie. Kikwete aliwaambia ccm, msitegemee polisi jibuni hoja. Aisee mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.